Mkurungezi wa Halmashauri ya ushetu isabela chilumba akimkibidhi mkurungezi wa halmashauri ya mji Felix kimaryo mwenge wa uhuru kwa kuanza kukimbizwa katika halmashauri hiyo,huku mkimbiza mwenge kitaifa akiangalia makabidhiano hayo katika kijiji cha ulowa .
Nimepokea mwenge wa uhuru na utafanya kazi mbalimbali za kuzindua miradi mbalimbali ya kimaendeleo kisema mkurungezi wa halmashauri ya mji wa kahama Felis kimaryo katika kijiji cha ulowa baada ya kukabidhiwa na mkurungezi wa ushetu .
Mkurungezi wa Halmashauri ya mji akikabidhi mkuu wa wilaya ya kahama Benson mpesya mwenge wa uhuru baada ya kuwasili katika halmashuri ya mji .
Kiongozi wa kitaifa wa mbio za mwenge wa uhuru mwaka huu juma khatibu chumu,akiweka jiwe la msingi katika mradi wa uwangiliaji katika kijiji cha lowa.
Kiongozi wa kitaifa wa mbio za mwenge mwaka huu juma khatibu akiangalia shamba la mboga za kabechi ambalo ni wajasiliamali katika kijiji cha lowa .
Mkuu wa wilaya ya kahama Benson mpesya akiwa na kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa wakati wa kukata upete kwenye uzinduzi wa mradi wa maji katika halmashauri ya mji wa kahama.
Maji ni uhai ndiyo maneno ya wakazi wa mtaa wa nyihongo wakiwa katika furaha ya uzinduzi wa gati la maji.
Viongozi wa mbio za mwenge wa uhuru wakiwa na na kikundi cha ngoma cha wangoyagi katika kata ya kinaga wakati wa kiongozi wa mbio za mwenge aliwasili hapo kwa ajili ya uzinduzi wa ofisi ya mtendaji wa kata.
Moja ya jengo la mahabara katika kata ya kinaga ambali limefadhiliwa na mgodi wa Buzwagi Acacia
Baadhi ya viongozi na waandishi wa habari wakiwa makini kusikiliza ujumbe wa mwenge mwaka huu
Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa juma khatibu akimkabidhi mkurungezi wa halmashuri ya mji wa kahama Felis kimaryo mwenye kofia ya taifa pikipiki kama zawadi ya utunzaji wa mazingira.
Bwawa la samaki katika shule ya sekondary ya wasichana mwendakulima
KAULI MBIU YA MWENGE MWAKA HUU
Viongozi wa mbio za Mwenge mwaka huu wakiwa na afisa utamaduni wa halmashuri ya mji wa kahama julias kabarange wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa makabidhiano wa mwenge huu katika manispaa ya shinyanga .
Wakimbizaji mwenge wa mkoa wa shinyanga,wakiwa katika picha ya pamoja kabla kupokelewa na manispaa ya shinyanga .
Mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya akimkabidhi mkuu wa wilaya ya shinyanga mwenge wa uhuru tayari kwa kuaza mbio zake kwenye manispaa hiyo.
No comments: