Asubuhi ya leo mji wa kahama maduka yote yamefungwa na kuna watu kabisa katika mabarabara.
Hiindiyo hali halisi ya kahama leo siku ya uchaguzi mkuu wa Rais Ububge na Madiwani
Hivi Ndivyo Maduka yalivyonekana
Hata hivyo eneo la soko la wakulima hali ilikuwa hiyo,watu walifanya manunun toka jana ili wajitokeze kwa wingi siku ya leo.
Hali ilivyokuwa katika vituo vya kupigia kura hiki ni kituo namna moja shule ya msingi Mbulu kata ya Mhongolo
Moja wa mpiga kura akipata maelekezo kwa kiongozi msimamizi wa kupiga kura katika shule ya msingi mbulu kahama
Mchana hali ilikuwa kama hivi misitali ilikuwa na watu wachache baada ya zoezi zima katika kata ya mhongolo kwenda vizuri
Msimamizi wa kituo cha kupiga kura akisubiri wapiga kura
Hata hivyo katika hospitali ya wilaya ya kahama Hudumma nazo zilisimama kama inavyonekani kuwepo kwa mwitikio mkubwa wa wananchi kujitokeza kupiga kura
Ulinzi nao ulimalishwa na jeshi la polisi
Haya ndiyo baadhi ya Magari ya Polisi yakiwa Tayari kwa kuuakisha Amani na Fujo hakuna na wananchi wamesikia wito wa kutokaa katika vituo mita Mia mbili
Ulinzi poa
Usalama kwanza kama jinsi magari ya polisi yakiwa katika barabara za mji wa kahama kuangalia usalama wa wapiga kura
Eneo la kata ya Nyihongo kituo cha Veo ambapo baadhi ya wapiga kura kukosa majina yao
Baadhi ya wapiga kura wa kata ya Nyihongo baada ya kukosa majina yao kwenye Daftari la wapiga kura
Hali Ndiyo inyo ni kiweka tu
Nachangua Rais wangu
Hata hivyo kila jambo huwa alikosi kasoro mihuri nazo ilikuwa ni tatizo kama jinsi inayoneka kwa msimamizi wa chuguzi kituo cha Veo kata ya Nyihongo
Wacha Nipigie Rais wangu
Msimamizi wa kituo cha Nyihongo akiangalia majina ya wapiga kura majina yao .
Hata hiyo mkurungezi wa Halmashauri ya Mjin wa kahama Enderson amesema kura hizo kazoro zipo na viongozi wote wa vyama wanalijuu suala hilo na pia suala majini ni la nchini zima na siyo kahama alisema mkurungezi wa usimamizi wa uchanguzi wa jimbo la kahama
No comments: