MH RAJABU MBARUKU AKITOA SERA ZA CUF NA VYAMA VINAVYOUNDA UMOJA WA KATIBA YA MWANANCHI UKAWA KATIKA VIWANJA VYA POEPLES MJINI SINGIDA
UMMATI MKUBWA WA WANANCHI WA MKOA WA SINGIDA WALIJITOKEZA KATIKA VIWANJA VYA POEPLES
MH KHAMIS MGEJA AKITOA UFAFANUZI JUU YA KUHAMA CCM NA KUJIUNGA NA CHADEMA KATIKA VIWANJA VYA POEPLES.
MH MASHA AKITOA SABABU YA KUKAMATWA KWAKE NA POLISI
HIVI NDIVYO ASKARI WA KIKE ALIVYOKUWA KATIKA UWANJA WA POEPLES KUANGALIA HALI YA USALAMA KATIKA ENEO HILO LA MKUTANO WA KAMPENI
MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA SINGIDA MJINI MGANDAH MSINDAHI AKIOMBA KURA KWA WAKAZI WA JIMBO LA SINGIDA MJINI KATIKA VIWANJA VYA POEPLES
MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA TUDU LISSU AKIONYESHA UFUNGUO WA MAGUFULI YOTE NA KUMKABIDHI MGOMBEA URAIS WA UKAWA EDWARD LOWASSA
MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA EDWARD LOWASSA AKIPOKEA UFUNGUO WA KUFUNGULIA MAGUFULI KATIKA VIWANJA VYA POEPLES NA KUTANGAZA SERA ZA CHAMA HICHO .
MGOMBEA URAIS EDWARD LOWASSA, AKIONYESHA WANANCHI UFUNGUO JUU
MH WAZIRI MKUU MSTAFU FREDIRCK SUMAYE AKITOA UFAFANUZI JUU YA JINSI GANI NYENYE ALIVYOAMUA KUONDOKA KATIKA CHAMA CHA CCM NA KUWATAKA WANANCHI MWAKA HUU KUKIONDOA CHAMA HICHO
MGOMBEA KITI CHA URAIS KUPITIA UKAWA EDWARD LOWASSA WAKATI AKIHUBIA WAKAZI WA JIMBO LA SINGIDA MJINI KATKA VIWANJA VYA POEPLES .
MSAFARA WA MGOMBEA URAIS EDWARD LOWASSA UKAWA UKIONDOKA UWANJA WA POEPLES MJINI SINGIDA,
No comments: