WAKAZI WA JIMBO LA SINGIDA MAGHARIBI WAKIWA KATIKA KIWANJA CHA ILONGELO KUSIKILIZA SERA ZA UMOJA WA KATBA YA MWANANCHI UKAWA EDWARD LOWASSA
MOJA YA CHANGAMOTO ZA JIMBO HILI NI MAJI NA MIUNDOMBINU YA BARABARA .
MGOMBEA URAIS KUPITIA UMOJA WA KATIBA YA MWANANCHI UKAWA EDWARD LOWASSA AKIWASILI KATIKA JIMBO LA SINGIDA MAGHARIBI.
KARIBU NYUMBA IRAMBA MAGHARIBI KAMA JINSI MGOMBEA EDWARD LOWASSA KUPITIA UMOJA WA KATIBA YA MWANANCHI UKAWA
UMMATI WA WAKAZI WA JIMBO LA SINGIDA MAGHARIBI
MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI DJUMBE DAVID
MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA TUDU LISSU AKITOA UFAFANUZI JUU YA KATIBA MPYA KATIKA JIMBO LA IRAMBA
MGOMBEA URAIS KUPITIA UMOJA WA KATIBA YA MWANANCHI UKAWA EDWARD LOWASSA AKIVISHWA NGOLOLO KAMA ISHARA YA AMANI NA UONGOZI WA TAIFA LETU .
MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA EDWARD LOWASSA AKIMUOMBEA KURA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI DJUMBE DAVID
KWA HERI MZEE HAPA KURA ZIMETOSHA MANENO YA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI DJUMBE DAVID KARIBU SANA
UMMATI WA KAZI WA JIMBO LA IRAMBA MAGHARIBI
HUU NDIYO UMMATI MKUBWA EDWARD LOWASSA AKIHUTUBIA WANANCHI WA JIMBO LA IRAMBA MAGHARIBI AMBAPO NI NGOME KUBWA YA MGOMBEA UBUNGE WA CCM MWINGULU NCHEMBA AMBAPO MAELFU YA WAKAZI WA JIMBO HILO WALIJOTOKEZA UWANJANI HAPO
No comments: