MGOMBEA URAIS WA UMOJA WA KATIBA UKAWA EDWAED LOWASSA AKIWASILI KATIKA VIWANJA CHA SHULE YA MSINGI TABUKARELI MANYONI
BAADHI YA VIONGOZI WA CHADEMA WILAYA YA MANYONI WAKIMPOKEA MGOMBEA WA URAIS KUPITIA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI UKAWA EDWARD LOWASSA .
MH KHAMIS MGEJA AKIONGEA NA WANANCHI WA MANYONI KATIKA VIWANJA VYA TABUKARELI .
MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA EDWARD LOWASSA AKIHUTUBIA WAKAZI WA MANYONI KATIKA VIWANJA VYA TABUKA RELI AKISISITIZA KUWACHANGUA MBUNGE WA CHADEMA NA MADIWANI ILI KUPATA SERIKALI NZURI .
WAZIRI MKUU FRENDIRCK SUMAYE KWENYE AKIWAHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI KWENYE VIWANJA VYA TABUKARELI MANYONI ASUBH LEO
UMMATI WA WANANCHI WA MANYONI WAKIWA KATIKA UWANJA WA TABUKARELI WAKISUBIRI MGOMBEA URAIS EDWARD LOWASSA .
MAELFU WAMPOKEA MGOMBEA URAIS WA UKAWA EDWARD LOWASSA KATIKA VIWANJA VYA TABUKARELI MANYONI LEO ASBH
MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA AKIMUNADI MGOMBEA KITI CHA UBUNGE JIMBO LA MANYONI KATIKA VIWANJA VYA TABUKARELI
HILI NDIYO BANGO LA LEO MANYONI KAMA JINSI ILILIVYOANDIKWA NA WATAKA MABADILIKO MANYONI .
No comments: