sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » HIMO AYAJAWAHI TOKEAEDWARD LOWASSA APATA KAPOKEZI MAKUBWA

 kikundi cha hamasa cha chadema kikiwa katika viwanja vya polisi himo wakihamashisha kampeni .
 Nifuraha tu katika viwanja vya polisi himo ambapo baadhi ya kinamama walishindwa kujizui na kuamua kucheza kwa furaha kubwa kabla ya mgombea urais wa chadema Edward Lowassa kuwasili katika viwanja hiyo.
 Bwana huyu aliamua kutengeneza nywele zake kama za mgombea urais Edward Lowassa kama ishara ya kumpatia kura yake katika viwanja vya polisi Himo .
 Tumewasili mgombea urais Edward Lowassa na Waziri mkuu Mstaafu Fredick sumaye katika viwanja vya polisi Himo  HUKU MGOMBEA WA JIMBO LA VUNJO JEMES MBATIA MWENYE SHARTI LA BLUE.
 Mgombea wa Ubunge jimbo la vunjo Jemes Mbatia  "Uamue sheria kandamizi zifutwe na kutungwa sheria zilizo rafiki kwa wananchi"
 Waziri mkuu mstaafu Fredick sumaye akiongea katika viwanja vya Himo polisi na kusema changueni upinzani siyo vita vita wanao hapo hao ccm sisi hakuna vita labda walete wao
"ccm wamesambaza kura fake mikoani,namwambia Kikwete zitaozea ndani na wasijaribu mchezo huo mchafu" Mbowe - Himo

 
 Uamue uwe na serikali inayowajibika kwa wananchi na sio vinginevyo 
  Tanzania ikisema YES Hakuna wa kusema NO, Asante Masasi kwa kuchagua mabadiliko 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply