Mgombea Urais kupitia umoja wa kati ukawa Edward lowassa mwenye nywele nyeupe akiwapungia wakazi wa jimbo jipya la kinana jiji dar
Maelfu ya wananchi wa jimbo la kibamba waliofulika viwanja vya mabasi yaendayo mkoani
UMMA wa wakazi wa kibamba wakiwa kwenywe stand ya basi wakimsubiri mgombea urais kupitia ukawa Edward lowassa jiji rdar
Mbali na matukio mbalimbali katika kituo hicho moja ya kijana moja wa kereketwa wa chadema akiwa amejipaka alama za chama hicho
Melfu ya wananchi wa jimbo la kibaba wakisubiri mgombea kiti cha urais kupitia ukawa Edward lowassa
Mgombea kiti cha Ubunge jimbo la kibamba john mnyika
Waziri mkuu mstafu Fredirick Sumaye akitoa sera za ukawa katika uwanja wa mabasi yaendayo mikoani eneo la mbezi
Mgombea Urais wa ukawa Edward lowassa Akinadi sera ukawa katika jimbo la kibamba na kuomba kura wapingie ukawa na mgombea ubunge wa jimbo hilo
Mgombea Urais akiwa na madiwani wa ukawa katika jimbo la kibamba huku akiomba kura kwa mgombea ubunge wa jimbo hilo,John mnyika
No comments: