Mgombea Urais Edward Lowassa asimamishwa tena maeneo ya Machungwani, Tanga na wananchi wenye kiu ya mabadiliko
Hivi ndivyo Muheza Tanga walivyosimamisha na Kufunga msafara wa mgombea Urais Edward Lowassa
Korogwe Hivi ndiyo Wananchi wa Korogwe walivyojipanga barabara ni wakimsubiri mgombea Urais Edward Lowassa katika barabara kuu ya Tanga Dar
Wakazi wa Mkata waliokuwa wakimsubiria Mh Edward Lowassa, baada ya kupata taarifa kuwa anatumia njia ya barabara.
Wakazi wa Muheza wakiwa juu ya maroli kuangalia msafara ya Mgombe Urais wa CHADEMA, Mh Edward Lowassa .
Pamoja na ulinzi kuimarishwa jeshi la polisi lishindwa na umma wa wakazi wa mji wa korogwe
Tunamsubiri mpaka Tumuone Rais Wetu ,Hizi pikipikpi zikiwa zimepaki eneo la barabara kuu ili kumuona mgombea Urais Edward Lowassa akitokea Tanga kwenda Dar
Wakazi wa Mkata waliokuwa wakimsubiria Mh Edward Lowassa, baada ya kupata taarifa kuwa anatumia njia ya barabara.
Wakazi wa Mkata waliokuwa wakimsubiria Edward Lowassa, baada ya kupata taarifa kuwa anatumia njia ya barabara.
Wakazi wa Muheza wakizuia msafara ya Mgombe Urais wa CHADEMA, Mh Edward Lowassa kwa lengo la kumueleza kero zao.za maji na jia ya Usafiri wa Reli
No comments: