WEWE WACHA CHENZEA MABADILIKO UWANJA WA BARAFU WAKOSE SEHEMU YA KUSIMAMA
HIYO NDIYO UKAWA WAKATI WA MABANDILIKO MUHIMU
MH LOWRECE MASHA AKIWA KATIKA VIWANJA VYA BARAFU MJIN DODOMA
UMATI MKUBWA WA WAKAZI WA MJI WA DODOMA WAKIWA KATIKA KIWANJA CHA BARAFU UKISIKILIZA SERA ZA UMOJA WA KATIBA UKAWA
UMMA WA MJI WA DODOMA
MH RAJABU MBARUKU MBUNGE WA CUF AKITOA SERA ZA UMOJA WA KATIBA UKAWA KATIKA VIWANJA VYA BARAFU MJIN DODOMA
UMMA MKUBWA
MH TAMBWE HINZA AKIWA KATIKA UWANJA WA BARAFU KATIKA KAMPENI ZA UKAWA
WAZIRI MKUU FREDIRICK SUMAYE AKIHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI KWENYE VIWANJA VYA BARAFU DODOMA
MIMI NIMECHOKA NA UMASKINI NARUDISHA KADI YA CCM NIPENDA MABADILIKO
MGOMBEA URAIS KUPITIA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI UKAWA EDWARD LOWASSA AKIHUTUBIA KATIKA VIWANJA VYA BARAFU MJIN DODOMA
UMMA TI MKUBWA WA WAKAZI WA MJIN WA DODOMA WAKISIKILIZA SERA ZA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI UKAWA MJINI DODOMA KATIKA VIWANJA VYA BARAFU.
MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA EDWARD LOWASSA AKIONDOKA KATIKA VIWANJA VYA BARAFU AKIWA JUU YA GARI HUKU AKIWAPUNGIA MKONO WANANCHI WA DODOMA .
ULINZI ULIMALISHWA KAMA JINSI JESHI LA POLIS WAKIWA KATIKA KUANGALIA USALAMA WA WANANCHI
No comments: