MH OLLE MEDIYE AKITOA SERA ZA UMOJA WA KATIBA YA UKAWA KATIKA JIMBO LA MADABA AMBAPO MGOMBEA URAS EDWARD LOWSSA ALIPOAZA KAMPENI KATIKA MKOA WA RUVUMA SONGEA ZA KUNADI SERA ZA UMOJA WA VYAMA VINNE AMBAVYO VINAUNDA UMOJA HUO (UKAWA).
MGOMBEA WA URAS KUPITIA UMOJA WA KATIBA UKAWA EDWARD LOWASSA ALIPOWASILI KATIKA JIMBO LA MADABA MKOA RUVUMA .
MH EDWARD LOWASSA AKISALIMIANA NA WALEMAVU KATIKA JIMBO LA MADABA NA KUANDI KUMPIGIA KURA SIKU YA TAREHE 25 OCTOMBER 2015 ILI AWENZE KUONDOA UMASKINI WA WATANZANIA .
MGOMBEA URAS EDWARD LOWASSA AKIWAHUTUBIA WAKAZI WA JIMBO LA MADABA SONGEA VIJIJINI.
BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI WAKICHUKUWA MATUKIO MBALI MBALI YA WAKAZI WA JIMBO LA MADABA AMBAPO MOJA WA WAKAZI WA ENEO HILO WALIMUOMBA MGOMBEA URAS KUPITIA UKAWAEDWARD LOWASSA AKIPITA AWEZE KUONDOA USHURU WA MAZAO.
UMATI MKUBWA WA WANANCHI MJINI SONGEA MKOANI RUVUMA WAKISIKILAZ SERA ZA UMOJA WA KATIKA YA WANANCHI UKAWA .
MAELFU YA WANANCHI WA MJI WA SONGEA MKOANI RUVUMA WAKIWA
No comments: