MGOMBEA URAIS KUPITIA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI UKAWA EDWARD LOWASSA AKIWASILI KATIKA KIWANJA CHA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA JIMBO LA MTERA MVUM,I WILAYA YA CHAMWINO
MGOMBEA WA URAIS EDWARD LOWASSA AKIWA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDIRCK SUMAYE , TIDDU LISSU WALIPOWASILI KATIKA KIWANJA CHA MKUTANO WA KAMPENI JIMBO LA MTERA MVUMI .
WAKIWASILI UWANJANI
MH. KHAMIS MGEJA AKIWA TOA SERA KWA WANANCHI WA JIMBO LA MTERA NA KUWATAKA WANANCHI WA JIMBO HILO KUWACHANA NA CCM KAMA WAZIRI MKUU ANAONDOKA KATIKA CHAMA HICHO WEWE WANANCHI WA KAWAIDA UNAGOJA NINI
MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA TIDDU LISSU AKITOA UFAFANUZI JUU YA TUMA ZA EDWARD LOWASSA KUHUSU RECHIMOD KWA WAKAZI WA JIMBO LA MTERA
WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDIRCK SUMAYE AKITOA SERA KWA WANANCHI KUWACHA KUICHANGUA CCM MWAKA HUU .KAMA KWELI WANATAKA MABADILIKO MWAKA HUU
KIKUNDI CHA UMOJA WA KINAMAMA CHA CHEKANAO , IGANDU JIMBO LA MTERA MVUMI.
MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA EDWARD LOWASSA AKIHUTUMBIA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA KIWANJA CHA SHULE YA MSINGI MVUMI .
MGOMBEA URAIS EDWARD LOWASSA AKIMUNADI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MTERA CHRISTOPHER NYAMWENJI,MVUMI.
MGOMBEA URAIS EDWARD LOWASSA AKIWA NA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MTERA NA MADIWANI WA KATA ZOTE ZA JIMBO LA MTERA
MPINGA NGOMA WA KIKUNDI CHA KINAMAMA CHA CHEKANAO JIMBO LA MTERA MVUMI
HILI NDILO CHOPA LA UMOJA WA UKAWA LIKITUA KATIKA JIMBO LA MTERA MVUMI KATIKA KIWACHA CHA SHULE YA MSINGI MMVUMI MJIN DODOMA
UMATI MKUBWA WA WAKAZI WA MJI WA MVUMA JIMBO LA MTERA
No comments: