sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » WASHINDA JUU YA MAKABURI KUSUBIRI MH EDWARD LOWASSA KIBAIGWA

HAWA NI BAADHI YA WAKAZI WA KIBAIGWA WAKIWA JUU YA MAKABURI WAKISUBIRI MGOMBEA URAS KUPITIA UMOJA WA KATIBU YA MWANANCHI (UKAWA)
BAADHI YA WAJUMBE WA UKAWA WAKIWA MAKINI KUSIKILIZA SERA CHAMA CHAO .
MOJA YA MSANI MKOGWE WA CHADEMA AKITOA BURUDANI KATIKA VIWANJA CHA AMANI KIBAIGWA

VIJANA WAKIWA MAKINI WAKIMSIKILIZA MH WAZIRI MKUU MSTAFU FREDICK SUMAYE KWENYE VIWANJA VYA AMANI KATIKA MJI MDOGO WA KIBAIGWA WILAYA KONGWA MKOANI DODOMA AMBAPO MGOMBEA KITI CHA URAS MH EDWARD LOWASSA ANAFANYA MKUTANO WAKE .
KAMA ILIVYO KATIKA MAMBO YA KAMPENI HUWA AKUKOSEKANI KWA VITUKO KAMA NJAMAA HUYUALIVYOKUTWA AMEVALIA KISAANI KWENYE VIWANJA VYA AMANI AMBAPO MGOMBEA URAS KUPITIA UKAWA ALIFANYA MKUTANO WAKE HAPA HUKU KUKIWA NA BURUNDANI MBALI MBALI .

ASKARI POLISI WAKIWA KATIKA DORIA YA KUKANGUA HALI YA USALAMA KATIKA ENEO HILO KABLA CHOPA KUTUA KATIKA KIWANJA CHA SHULE YA MSINGI AMANI
HIVYO NDIYO CHOPA ILIVYOKUWA IKITUA KATIKA KIWANJA CHA AMANI IKIWA IMEBEBA MGOMBEA KITI CHA URAS KUPITIAUMOJA WA KATIBA YA MWANACHI  UKAWA EDWARD LOWASSA
MH WAZIRI MKUU MSTAFU FREDRICK SUMAYE AKITOA SERA ZA UKAWA MJIN MDOGO WA KIBAIGWA.
MGOMBEA URAS KATI MH EDWARD LOWASSA AKISIKILIZA MWANASHERIA WA UKAWA TIDU LISSU AKITOA SERA ZA CHAMA CHAO HUKU MWENYEKITI WA TAIFA FREEMAN MBOWE AKISILIZA .
UMMA WA WAKAZI WA MJI MDOGO WA KIBAIGWA WAKISIKILIZA MGOMBEA URAS EDWARD LOWASSA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply