Mkurungezi wa Halmashauri ya Mji wa kahama Enderson Msumba Akitangaza Matokeo ya Ubunge na Udiwani jimbo la kahama
Mgombea Kiti cha Ubunge jimbo la kahama Kupitia CCM jumanne Kishimba Ambapo msimamizi wa Tume ya Uchaguzi Jimbo la Kahama Alitangaza jumanne kishimba kuwa ni mshindi wa jimbo hili.
Wasimamizi wa Tume ya Uchaguzi wakijalibu kuakiki Matokeo ya Uchaguzi jimbo la kahama
Mgombea Ubunge kupitia Chadema Jemes Lembeli Akisalimia na Mshidi wa jimbo hilo jumanne kishimba katika viwanja vya kituo cha maarifa ya Nyumba kabla ya kutangazwa kwa matokeo
Mgombea Ubunge jimbo la kahama kupitia Chadema Jemes Lembeli Akiwashuru wananchi waliojitokeza kusikiliza matokeo.
Wangombe Ubunge Jimbo la Kahama chadema Jemes Lembeli kati Mgombea wa ACT na mwisho ni Mshidi wa jimbo la kahama Jumanne kishimba
Tunasikiliza Matokeo katika Ukumbi wa maarifa ya Nyumbani mjini kahama
Tunahesabu kura
Mkurungezi wa Halmashauri ya mjin wa kahama Enderson masumba akiongea na Wasimamizi na waongozaji wa wapiga kura
Mgombea wa jimbo la kahama Jemes lembeli kupitia chadema akiongea na baadhi ya wanahabari juu ya matokeo.
Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la kahama Enderson Masumba ametangaza kuwa jimbo la kahama lilikuwa na wapiga kura 149304 na kura zilizopigwa zilikuwa 78280 na hakuna zilizoharibika na kusema mgombea wa ACT shabani Wabura amepata kura 605 mgombea wa chadema jemes Lembeli amepata kura 30122 na mgombea wa ccm Jumanne kishimba amepata kura 47555 na kuwa kutangazwa na msimamizi wa tume ya uchaguzi jimbo la kahama Jumanne kishimba kuwa ni mshidi wa jimbo hilo .
Aidha kwa upande wa Udiwani msimamizi alisema kuwa jimbo la kahama lina kata 20 ambapo ccm imeshinda kata 19 na chadema wameshinda kata moja tu alisema .
No comments: