Wakazi wa kata ya mjini kahama wakisikilaz mgombea Ubunge jimbo la kahama kupitia Chadema Jemes lembeli katika viwanja vya CDT ambapo alifanya mkutano mkubwa wa kampeni
Mgombea Udiwani kata ya kahama Mjini Abbas Omary kupitia Chadema akihubia katika viwanja vya CDT na kuomba kura ya mbunge na mgombea Urais Edward Lowassa kupitia Chadema
Viongozi wa wilaya kahama chadema wakiwa na mbunge wao jemes Lembeli na mwenyekiti wa chadema wilaya ya kahama Juma Protus katika viwanja vya CDT kwenye mkutano wa kampeni
Maelfu ya wakazi wa mji wa kahama wakisikiliza mgombea Ubunge kupitia Chadema Jemes Lembeli kwenye Viwanja Vya CDT
Tupo pamoja tarehe 25,10,2015 mapema sana saa 11 wewe ndiye mbunge wa jimbo hili
Ni weweeeeeee tu lembeli hakuna wingine
Mgombea Ubunge jimbo la kahama kupitia Chadema Jemes Lembeli Akihutubia wakazi wa kata ya kahamna Mjini katika Viwanja Vya CDT
Lembeli Akisisitiza jambo kiuhusu Tume ya uchaguzi kufata Sheria na polisi kuwa acha kutisha Rai
Kulinda kura kura mita mia mbili 200 lazima ipo kisheria mimi nitarinda kura zangu Lembeli
Tume fateni sheria Lembeli
Ummati wa wakazi wa kata ya kahama Mjini wakisikiliza sera za Mgombea Ubunge jimbo la kahama kupitia Chadema Jemes Lembeli kwenye Viwanja Vya CDT kahama.
No comments: