Akiwasili nyumbani kwa marehemu Peter Kisumo na kupokewa na kaka wa marehemu Daniel Mchangila
Akisaini kitabu cha rambirambi nyumbani kwa marehemu Peter Kisumo Usangi leo Jumanne
Akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Peter Kisumo aliyefariki tarehe 3/8/2015
Akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Peter Kisumo leo,Mzee Kisumo alifariki 03/08/2015
Akisaini kitabu cha rambirambi cha marehemu Peter Kisumo aliyefariki tarehe 03/08/2015
Mgombe Urais wa CHADEMA Mh Edward Lowassa akiweka shada kwenye kaburi la Mzee Peter Kisumo huko same.
Akitokea kaburini kwa marehemu Mzee Kisumo kuweka shada la maua,
Namanaga Ikisema YES hakuna wakusema NO,viwanja vya shule ya msingi Namanga
Msafara wa ukielekea Namanga ukitokea Longido leo Jumatano 7/10/2015
Akielekea kaburini kwa marehemu Mzee Kisumo
No comments: