Basi la waasani wa Bongo movie wakiwasili katika viwanja vya phathom mjini kahama kwenye kampeni za ccm
Mgombea Ubunge Jimbo la kahama kupitia tiketi ya ccm Jumanne kishimba na mwenyekiti wa ccm wilaya ya kahama Maballa Mlolwa anacheka huku baadhi ya waasani wakiwasili eneo hilo la mkutano .
Msaani wa Bong Movie JB akisalimiana na Mgombea Ubunge kupitia ccm jumanne kishimba wakati wa kampeni za chama hicho maeneo ya Phathom kata ya Nyasumbi
Mwenyekiti wa ccm wa wilaya ya kahama Maballa Mlolwwa akisalimia na JB msaani wa Bong Movie alipowasili katika kampeni za chama hicho
Mgombea Ubunge jimbo la kahama wa kati Jumanne kishimba na mwenyekiti wa ccm Maballa Mlolwa .
Mwenye Maick kati ni mbunge wa viti maalum wa ccm jimbo la solwa Hazza Hilali akimunadi Mgombea Ubunge Jimbo la Kahama Jumanne Kishimba .katika viwanja vya Phathom kata ya Nyasubi .
Baadhi ya Waandishi wa Vyombo Mbali Mbali wasikiliza sera za chama Tawala ccm kwa Mgombea wa chama hicho jumanne kishimba
Baadhi ya watoto walifurika kuangali wasani wa Bongo Movie katika kampeni za chama cha ccm eneo la Phathom kata ya Nyasubi
Mbunge wa Viti maalumu alimaliza Muda wake Hazza Hilali Akimuombea kura Mgombea Wa ccm Jimbo la kahama Jumanne Kishimba .
Baadhi ya wakazi wa kata ya Nyasubi wakisikiliza Mgombea wa ccm jimbo la kahama Jumanne kishimba
Moja wa kanda wa ccm akiwa ameva Tsherti kuwa ccm ndiyo habari ya mjini
Waandishi wa habari wilayani Kahama mkoani Shinyanga
wametakiwa kuitumia vyema taaluma yao kwa kutoandika habari za uongo na
uchochezi kwani kufanya hivyo ni kuhatarisha amani katika jamii.
Hayo yamesemwa jana na mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi
wilaya ya Kahama Mabala Mlolwa wakati akizungumza na wananchi wa kata ya
Nyasubi kwenye mkutano wa Kampeni za mgombea ubunge kupitia chama hicho Jumanne
Kishimba.
No comments: