Mjumbe wa kamati ya Mgombea Urais Chadema Edward lowassa Khamis mgeja akiwasili katika viwanja vya kangongwa mjini kahama katika kampeni za urais
Mjumbe wa kamati ya mgombea urais chadema Khamis Mgeja akihutubia wakazi wa kangongwa .
Tumekubali mabadiliko kangongwa Khamis Mgeja
MJUMBE wa Kamati ya Taifa ya Kampeni za mgombea Urais wa
Chadema,Edward Lowassa,anayeungwa mkono na vyama vya Ukawa,Khamis Mgeja alisema,
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa,anastahili kufikishwa mahakamani kwa matumizi
mabaya ya madaraka na kujimilikisha mali za umma akiwa Ikulu.
No comments: