Asante kahama kwa kukubali mabadiliko
Shikamooo kahama
Karibu mgeja Mabadiliko tumekubali hapa kahama
Tumekuja wenye kusikiliza Mgeja Asante Mgeja kahama katika Uwanja wa soko la mkulima
Ummati mkubwa wa wakazi wa mji wa kahama wakiwa katika Viwanja vya soko la mkulima kwenye mkutano wa kampeni wa chadema
Aliyekuwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa shinyanga Khamis Mgeja Akimtabulisha Mgombea Ubunge Jimbo la kahama kupitia Chadema Jemes Lembeli Akimuombea Kura kwa wananchi wa jimbo la kahama katika soko la wakulima.
Mgeja Akihubia Maelfu ya wakazi wa jimbo la kahama katika viwanja vya soko la wakulima
Karibu sana kaka Hayo ni maneno ya Jemes lembeli wakati wa mkutano wa kampeni mjini kahama
Mmoja wa shabiki wa chadema Maarufu kwa Mzungu John akiwa amejipaka mwili wake Rangi ya Alama ya chadema na Baskeli yake ambapo Anatembea nchi Nzima kuomba siku ya uchaguzi kuwe na Amani .
Emmanuel Nzungu Alikuwa Katibu wa umoja wa Vijana wa ccm Ngazi ya wilaya Akihutubia wakazi wa jimbo la kahama katika moja ya Mikutano ya chama cha chadema katika soko la wakulima kahama
Aliyekuwa Katibu Muenezi wa ccm shinyanga Vijiji Charles Shigino akihutubia mkutano wa kampeni
Mgombea Wa Ubunge jimbo la kahama kupitia Chadema Jemes Lembeli Akihutubia wakazi wa jimbo la kahama katika soko la wakulima
Alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa shinyanga Khamis Mgeja na Mgombea Ubunge Jimbo la Kahama Jemes Lembeli katika viwanja vya sokoni la wakulima
KAHAMA
Aliyekuwa mwenyekiti wa mkoa wa Shinyanga kupitia CCM aliyehamia CHADEMA Khamis Mgeja ameitaka serikali ya wilaya ya Kahama kuacha kuwatisha wananchi na wafanyabiashara wanaokiunga mkono chama hicho hali inayowezakuvuruga uchaguzi na kuhatarisha amani.
Aliyekuwa mwenyekiti wa mkoa wa Shinyanga kupitia CCM aliyehamia CHADEMA Khamis Mgeja ameitaka serikali ya wilaya ya Kahama kuacha kuwatisha wananchi na wafanyabiashara wanaokiunga mkono chama hicho hali inayowezakuvuruga uchaguzi na kuhatarisha amani.
Akizungumza na wananchi katika mkutano wa Kampeni wa chama
hicho kumnadi mgombea ubunge jimbo la Kahama mjini James Lembeli,Mgeja amesema
kuwa hujuma inayofanywa na CCM kwa kutumia baadhi ya viongozi wa Serikali ya
wilaya zimeshabainika na hazitofanikiwa.
No comments: