Baadhi ya washiriki waMradi wa pesa kwa wote wakiwa katika ukumbi wa Caritas mjini kahama
Afisa Mradi wa Pesa kwa Wote Fatuma Hassan
Baadhi ya washiriki wa mradi wa pesa kwa wote Emmanuel Mlelekwa
Moja wa washirikiwa Mradi wa pesa kwa wote unafadhiliwa na mashirika ya Huheso Foundation na care
Washiriki wakibadilishana
Washiriki wakiwa katika wakati wa kuchambua mradi huu
Moja wa washiriki toka katika kata za nyandekwa wakitoa maada juu ya ungumu wa wanakijij kujitokeza katika mradi huu wa pesa kwa wote
Washiriki wa mradi wa pesa kwa wote
Washiriki wa mradi wa pesa kwa wote
Washiriki wa pesa kwa wote wakiwa katika ukumbi wa Caritas mjini kahama
Mkurugenzi wa Asasi ya kirai ya HUHESO Foundation Juma Mwesigwa katika kikao cha tathmini ya mradi wa Pesa kwa Wote na waelimishaji ngazi ya jamii unaotekelezwa na Asasi hiyo wilayani Kahama. |
Washiriki katika ukumbi
Serikali wilayani Kahama mkoani Shinyanga imetakiwa
kutoa ushirikiano katika miradi mbalimbali inayotekelezwa na asasi za kiraia
yenye lengo la kuwainua wananchi kiuchumi ili kufikia lengo lililokusudiwa.
Wito huo ulitolewa leo na mkurugenzi wa Asasi ya kirai
ya HUHESO Foundation Juma Mwesigwa
katika kikao cha tathmini ya mradi wa Pesa kwa Wote na waelimishaji ngazi ya
jamii unaotekelezwa na asasi hiyo wilayani Kahama.
Mwesigwa alisema kuwa miradi hiyo si ya kudumu katika
asasi hizo kwani baada ya kuisha muda wake vikundi vinavyohusika katika miradi
hiyo hukabidhiwa serikalini kwa ajili ya
kuendelezwa hivyo ni vyema nguvu zaidi toka serikalini ikaanza kutolewa sasa.
No comments: