Nimesema mara kadhaa katika kampeni zangu, nasema tena, damu yangu inachemka kuwatumikia.
Mgombea Urais Edward Lowassa Akiwanadi madiwani leo J/mosi 10/10/2015 Mugumu katika mkutano wa siasa
Akiwasili Tarime mjini leo 10/10/2015 kwa ajili ya mkutano wa kampeni
"Karibu Baba wa taifa wa pili EDO Mabadiliko" Hivi ndivyo Tarime ilivyompokea
Mgombea jimbo la Tarime mjini Ester Matiko akiongea na Wanatarime leo 10/10/2015
Wananchi wa "Konakry" waufuata tena msafara wa UKAWA na mgombea wao Ndugu Edward Ngoyai Lowassa Mara!
UMMA WA WANAMARA HUU
Wanamusoma wakipiga deki barabara ili Mhe.Edward Lowassa kupita pakiwa njia safi mpaka IKULU
Usafi mh Rais apite njia nyeupe kama nywele zake na Roho yake nyeupe
John hech Akiongea na wananchi wa Tarime mjini katika viwanja vya 77 Jana 10/10/2015
Safisha njia kaka Mh Rais amekaribia kufika
UMATI MKUBWA UKIWA JUU YA PAAA MJINI MUSOMA KUSIKILIZA HOTUBA YA MGOMBEA URAIS EDWARD LOWASSA.
Mh Edward Lowassa Akiongea na wananchi wa Tarime katika viwanja vya 77 - 10/10/2015
No comments: