![]() |
| Hili ndiyo soko la Namanga Ambalo limekuwa na mvutano mkubwa kati ya madiwani na wafanyabiashara wa soko la vumilia na Namanga. ambapo baadhi ya wafanyabiashara wamengawanyika sehemu mbili |
![]() |
| Baadhi ya vibada vikiwa wazi vya kuuza ndizi na matunda vikiwa wazi sokoni hapa |
![]() |
| Eneo la soko la Namanga likiwa wazi |
![]() |
| Ndiyo meza ambazo Hazina wafanyabiashara katika soko la Namanga |
![]() |
| Baadhi ya Vibada vikiwa bado vinaendelea kutengenezwa huku baadhi ya meza zikiwa tupu |
![]() |
| Baadhi ya wafanyabiasha wa samaki wakiwa hawana wateja huku kukiwa na mvutano mkubwa kati ya wanasiasa wateja kuwa wandogo kutokana kungawanyika katika masoko mawili . |
![]() |
| Hali ya soko la samaki kama jinsi linavyonekana kutokuwa na wateja kama jinsi jamaa huyu akiwa anatarisha samaki kwa mteja wake |
![]() |
| Tunateneza mboga samaki kwa usafi wa hali juu katika utayarishaji tofauti na soko la vumilia |
![]() |
| Hivi ndivyo hali ya kukosa wateja wa soko la samaki kama inavyonekana katika soko la Namanga mjini kahama,jambo ambalo limekuwa likiwatia hasara kwa wafanyabiasha hao wa soko la Namanga. |
![]() |
| Samaki wakiwa katika matenga baada ya kukosa wateja katika soko hilo kwa mvutano wa nasiasa |
![]() |
| Yusufu Ndagaya akiwa katika majukumu yake ya kila siku katika soko la Namanga mjini kahama |













