By: Mohab Dominic
on 08:15
/
|
Hizio ndiyo habari kwa wapanda pikipiki nchini tanzania |
|
Baadhi ya pikikipi zilizokamatwa na jeshi la polisi hapa nchini |
|
ubejaji wa mizingo kama hii ni hatari |
|
Pikipiki ambazo jeshi la polisi limezikamata kwa makosa mbalimbali hapa nchini |
|
Hizi ndizo hatari kwa wapanda pikipiki wakati walibebwa hakuna alivyaa kofia ngumu |
|
Hatari kama hizi kwa waandesha pikipiki |
|
Baadhi ya pikipiki zikiwa katika kituo chja polisi hapa nchini |
|
Mkuu wa kitengo cha usalama barabarani wilayani kahama Robert sewado akiwa na kijana mwenye kofia ngumu akiwa ameshikiliwa kwa kosa la kubeba abiria ambaye akuva kofia ngumu. |
|
Mkuu wa kitengo cha usalama barabarani Robert sewado akitoa maelekezo kwa vijana wanavuja sheria za barabarani wilayani kahama . |
|
Hapa kazi ndiyo maneno ya mkuu wa kitengo cha usalama barabarani wilayani kahama Robert sewado akiwa na askari wa kikosi cha usalama barabarani kahama wakihakisha usalama wa panda pikipiki wanakuwa salama wakati wote |
|
Wakiwa wamekamatwa na askari wa kikosi cha usalama barabarani kwa kosa la kutovaa kofia ngumu |
|
Opereshi kamata pikikipiki kahama wanaovuja sheria za barabarani |
Tag:
MOHABMATUKIO.BLOGSPOT.COM's Admin
We are.., This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
No comments: