Mkuu wa wilaya ya kahama Fadhili Nkurlu akimkabidhiwa Mkurungezi Mtendaji Wa Halmashauri ya ushetu Michael Matomora mwenge wa uhuru katika kijiji cha chona katika Halmashauri mji wa kahama |
Moja ya mradi iliyofunguliwa na mbio za mwenge katika halmashauri ya ushetu mwaka huu hii ni moja ya Wodi ya wazazi |
Kiongozi wa Mbio za mwenge wa kitaifa George Jackson Mbijima akikata utepe wa wodi ya wazazi Halmashauri ya Ushetu |
Moja ya uzinduzi wa mradi wa chanzo ya ngombe ambapo mkimbiza mwenge kitaifa alizundua mradi huo |
Baadhi ya Madiwani wa Halmashauri ya Ushetu |
Mkuu wa wilaya ya ya kahama FADHILI Nkurlu Mwenye Kofia Nyeupe Kati ni Mkurungezi Mtendaji Wa Halmashauri ya Ushetu Michael Matomora akitoa maelekezo ya mradi Mbalimbali ya Mradi |
ANGALIA PICHA ZA MATUKIO YA MIRADI USHETU |
Moja ya bweni la wanafunzi wa shule ya sekondari |
Kiongozi wa mbio za mwenge wa Kitaifa George Jackson Mbijima akikata utepe wa jiwe la mradi wa maji |
Kiongozi wa Mbio za mwenge wa Kitaifa akifungua Bomba la maji kama ishara ya ufunguzi wa mradi wa maji |
Kiongozo wa Mbio za mwenge George Jackson Mbijima |
Wakifurahi mbio za mwenge |
Mkuu wa wilaya ya kahama Fadhili Nkurlu kati ni mkurungezi wa Mtendaji wa Halmashaurii ya Ushetu Michael Matomora kushoto ni mkuu wa polisi wilaya ya kahama |
Mwenge OYEEEE |
No comments: