Baadhi ya watumishi wakifuhai ushindi wao |
Moja ya zawadi walizopata Halmashauri ya Ushetu zawadi hiyo ilitolewa na BANK ya NMB Makao makuu ya BANK HIYO jiji DAR Tracta Hilo lenye THAMANI ya Milioni 56 |
Meneja wa Bank ya NMB tawi la kahama mwenye suti akimpogeza Mkurungezi wa Halmashauri ya ushetu alikaa kwenye Terecta hilo baada ya kupokea zawadi ya Terecta lenye thamani ya milioni 56 |
Ni Furaha tu hao ni watumishi wa halmashauri ya ushetu wakiwa na furaha kubwa baada ya kuzishida zaidi ya Halmashuri 179 nchi zima na ushetu kuimbuka mshidi na kupata nafasi ya kwanza |
FURAHA TU |
MH mbunge wa jimbo la Ushetu Elias Kuandikwa akiwa na Mkurungezi wa ushetu Michael Matomora baada ya kukabidhiwa kwa Terecta hilo na Bank ya NMB |
Furaha |
Hongera Hayo ni maneno ya muweka hazina wa ushetu kwa mkurungezi wao wa ushetu kwa ushindi huu mkubwa kati ni Mwenyekiti wa ccm wilaya ya kahama |
Hongera Mkurungezi kwa kazi NZURI kubwa |
Hongera |
Baadhi ya wanahabari wakimpogeza Mkurungezi wa ushetu |
Hapa ni kazi tu na Furaha na kucheza Muziki |
Chezea Ushidi weeeee shapen hiyooooooo |
Mbunge wa jimbo la Ushetu Elias kuandikwa Akimpogeza Mkurungezi wa ushetu kwa ushindi wa utawala bora |
Mbunge wa jimbo la Ushetu Mwenye Miwani Elias kuandikwa |
Misoso ile mbaya |
Furaha tu |
Watu walipata chakula na kunywa |
Wakicheza muziki |
Meneja wa BanK ya NMB tawi la kahama akipogeza Halmashauri ya ushetu kwa kuwa karibu sana nna wananchi na kufannya kazi vizuri |
Mkurungezi wa Halmashauri ya Ushetu Michael Matomora Akipogeza watumishi wote wa Halmashauri ya Ushetu kwa kufanya kazi kwa kushirikiana na umoja. |
MH mbunge wa jimbo la Ushetu Elias Kuandikwa Akiongea na wafanyakazi wa Halmashauri ya ushetu kwa kufanya ushetu kufahamika katika ulimwengu huu jambo likuwa ni geni kwa wajumbe wote wa ALAT Taifa |
No comments: