|
Mkuu wa mkoa wa shnyanga Zainab Telack akisalimiana na viongozi mbalimbali wa serikali kwenye mafunzo ya mgambo katika kijiji cha Bugomba |
|
Mkurungezi wa ushetu Michael Matomoro akisalimia na mkuu wa mkoa wa shinyanga |
|
Heshima kwa Mkuu |
|
Heshima na wimbo wa Taifa |
|
ukanguzi wa Ngwalide Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga |
|
Mkurungezi Mtendaji wa Halmashauri ya Ushetu Mwenye kitenge Michael Matomoro na mwenyekiti wa ccm wa wilaya ya kahama mwenye koti |
|
Heshimu kwa mgeni Rasmi |
|
Viongozi wakipokea saruti kutoka kwa wahitimu wa mafunzo ya mgambo |
|
Baadhi ya wananchi wa vijiji vitatu vya Bugomba B wakishundia kufungwa kwa mafunzo ya mgambo |
|
Moja ya wahitimu wa jeshi la akiba la mgambo akipokea cheti cha kumaliza mafunzo hayo |
|
Ukakamavu kwanza |
|
Mazoezi ya Vitendo baada ya mafunzo |
|
Mkuu wa wilaya ya kahama fadhili Nkurlu akiongea na jeshi la akiba la mgambo katika kijiji cha Bugomba B |
|
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga ZainabTeracka |
|
Mkuu wa mkoa wa shinyanga Akiwahutubia baadhi ya wahitimu ya mafunzo ya jeshi la akiba la mgambo katika kijiji cha bugomba B kulia ni mkuu wa wilaya ya kahama mwenye sharti la kitenge Fadhili Nkurlu |
|
Wahitimu wa jeshi la akiba mgambo ambapo wamehitimu mafunzo hayo ya miezi 3 |
kahama
Serikali mkoani shinyanga imezitaka halmashauri za wilaya na kuhakikisha wanawatumi jeshi la akiba la Mgambo kwenye shughuli za kitaifa kama wanavyo watumia jeshi la polisi na jeshi la wananchi katika shughuli Muhimu za kitaifa.
Akizungumuza wakat iwa kufunga mafunzo ya Mugambo kimkoa katika kijiji cha Bugomba B mkuu wa mkoa wa shinyanga ZainabTeracka mewataka wa kurugenzi wa halmashauri za wilaya kuwa tumia Mugambo kwenye ulinzi wa kazi za kitaifa.
Alisema kuwa kuna shughuli za ulinzi wa mitihani ya kitaifa, usimamiziwa uchaguzi na kuwalinda viongozi kwa tayari wana kuwa na mafunzo ya kijeshi na kula kiapo cha utii wa sheria za nchi.
No comments: