![]() |
Mbunge wa jimbo la ushetu Mh Elias kwandikwa akiwa juu ya Trekta ambalo wamepewa na Bank ya NMB kwa ushindi wa kwanza katika mashindano ya mayors award |
![]() |
Mbunge wa jimbo la ushetu Elias Kwandikwa kati ni Mkurungezi wa Halmashauri ya ushetu Michael Matomora |
![]() |
Hongereni kwa ushindi ushetu |
![]() |
Meneja wa masoko wa TSN januarius Maganga akipongeza mkurungezi wa ushetu na mbunge wa jimbo hilo Elias kwandikwa kwa ushindi wa kitaifa wa mayors award mjini mjin musoma |
![]() |
Mkuu wa mkoa wa mara Charles Mlingwa akiwa juu ya Trekta ya ushindi wa mayors Award huku Mbunge wa jimbo la ushetu Elias Kwandikwa Akishuudia tukio hilo kukabidhiwa kwa chombo hicho |
![]() |
Pongezi na hongereni wote kwa kazi nzuri mkuu wa mkoa wa mara charles Mlingwa |
![]() |
Mwenye koti la kaki ni mbunge wa jimbo la ushetu Elias Kwandikwa kati ni mkurungezi Mtendaji wa Halimashauri ya ushetu Michael Matomora mwenye Tai Nyekundu ni meneja wa Masoko TSN J S Maganga |
![]() |
Meneja wa masoko TSN J S maganga akibadilisha mawanzo na mbunge wa jimbo la ushetu Elias Kwandikwa Katika ofisi ya Halmashauri ya Ushetu kati ni mkurungezi wa ushetu Michael Matomora. |
No comments: