 |
eneo la machimbo walipovamia wachimbaji |
 |
Baadhi ya mashimo ambayo wachimbaji wadogo wamevamia eneo la muwekezaji |
 |
wamevamia eneo la mwekezaji la kampuni ya Nyang’hwale Dimond Ltd |
 |
Baadhi ya wachimbaji |
 |
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa kahama Abel Shija akiongea na wachimbaji wadogo waondoke eneo hili lipo kihalali katika eneo hilo. |
 |
Wachimbaji wakiondoka eneo la Machimbo ya Nyanghwele ya almasi Diamond Ltd |
 |
Moja ya gari la polisi likiwa katika Doria ambapo baadhi ya wachimbaji walivamia eneo hilo |
 |
Mtambo ya mwekezaji wa kampuni ya Nyang’hwale Dimond Ltd |
 |
Mitambo ya Muwekezaji |
 |
Mbunge wa jimbo la kahama jumanne kishimba na Meya wa mji wa Kahama Abel shija akiwa na wachimbaji wadogo eneo la muwekezaji kahama |
 |
Mbunge wa jimbo la kahama Jumanne Kishimba mwenye kofia akiongea na wachimba juu ya mgongoro wa kuvamiwa kwa machimbo ya muwekezaji |
 |
Mkutano wa Mbunge na wachimbaji |
KAHAMA
Wachimbaji wadogo zaidi ya 100 kutoka katika kijiji cha Nyank’wale katika halmashauri ya mji wa Kahama mkoani shinyanga wakiwa na mapanga Malungu na vifaa vya kuchimbia dhahabu wamevamia eneo la mwekezaji la kampuni ya Nyang’hwale Dimond Ltd ya mkoani shinyanga na kutaka kuchimba Almasi kwa Nguvu kwa madai kuwa mwekezaji huyo amelitelekeza eneo hilo.
Baadhi ya wachimbaji hao MasudyJuma mwingine waliofahamika kwa jina la Ibrahimu wamesema kuwa mwekezaji huyo alipatiwa eneo hilo miaka kumi iliyopita na kwamba wamelazimika kuingia katika eneo hilo kwa madai kuwa mwekezaji ameshindwa kuanza uzalishaji ili wananchi waanze kunufaika,
Kufuatia tukio hilo baadhi ya viongozi wa wilaya akiwemo mbunge wa jimbo hilo Jumanne kishimba amekili kuwa eneo hilo la mwekezaji alipatiwa miaka 10 iliyopita lakini amepatelekeza na kwamba keshi wanatarajia kufanyamazungumuzo nae ili kupata mwafaka wa kuanza kuchimba almasi na wananchi waanze kunufaika.
No comments: