ROCKEN HILL

ROCKEN HILL

Monday, 24 October 2016

WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI KAHAMA YALETA MAJANGA KAHAMA

 wiki ya neda kwa usalama barabarani kahama yawa majanga 

 Fuso laparamia nyumba kahama karibu na ofisi ya halmashauri ya mji  

 Baadhi  ya wananchi wa kahama mji eneo la nyihongo wakiangalia gari aina ya fuso ambalo limeacha njia na kuparamia nyumba  na kujiruhi baadhi ya watu wawili .

 Gari aina ya fuso ambalo limeparamia nyumba 

No comments:

Post a Comment