By: Mohab Dominic
on 06:52
/
|
kaimu meneja wa kanda ya Magharibi inayojumuisha mikoa ya Katavi,Tabora,Shinyanga na Kigoma Akito maelezo kwa mkuu wa wilaya ya kahama Juma Ramadhani |
|
Mkuu wa wilaya ya kahama Fadhili Nkurlu akiongea na watendaji wa wakala mistu na watendaji wa halmashauri juu ya utunzaji wa mistu |
|
Mweneja Msaidizi wa wakala wa mistu kahama mwenyesharti Nyeupe Mohamed Dossa wakisikiliza maelezo vizuri katika kikao kazi |
|
Mmoja wa Watendaji wa wakala wa mistu wakisikiliza Hotuba ya mgeni Rasmi mkuu wa wilaya ya kahama juu ya utunzwaji wa mistu |
|
Viongozi na watendaji wakisikiliza maelekezo juu ya mistu |
|
Majandiliano yanaendelea kwa watendaji |
|
Picha ya pamoja na mkuu wa wilaya ya kahama |
|
Afisa Misitu mkoa wa Shinyanga Billie Edmott alisema wizara ya Misitu
inakabiliwa na uhaba wa mistu
KAHAMA
Ushirikiano wa
kiutendaji kati ya watumisi wa TAMISEMI na Wakala wa Misitu hapa Nchini TFS
umetejwa kuwa njia bora ya kukabiliana na changamozo zinazokwamisha maendeleo
ya Misitu hapa nchini .
Rai hiyo ilitolewa na
Mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkurlu wakati akifungua Mkutano maalum wa
wadau wa Misitu kutoka mikoa ya kanda ya Magharibi kujadili Changamoto na
Mikakati ya utunzaji wa rasilimali hiyo
Nkurlu aliwataka
watumishi wa Halmashauri kushirikiana na maafisa wa Misitu katika kuwa na
ushirikiano wa karibu ambao ni chachu ya kuleta ufanisi na suluhisho la kudumu
la usimamizi wa pamoja wa rasilimali misitu
|
Tag:
habari
matukio
MOHABMATUKIO.BLOGSPOT.COM's Admin
We are.., This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
No comments: