Wanafunzi wa shule ya msingi Nyahanga wakiwa katika mandalizi ya mandamano katika kituo cha polisi kahama |
Baadhi ya askari wa Dawati la kijisia wakiwa katika mandamano katika siku ya kupiga ukatili wa kijisia wakiwa katika Barabara za mji wa kahama |
Wanafunzi wa shule ya msingi nyahanga wakiwa katika Barabara za mji wa kahama kuelekea katika uwanja wa bwalo la polisi katika uzinduzi wa siku kumi na sita za kupinga ukatili wa kinjisia |
Baadhi ya wanasheri wa halmashauri ya msalala wakionyesha Bango lao kwa mgeni rasmi |
Mandamano ya wanafunzi na walimu wao |
Kauli Mbinu |
Wanafunzi wakiwa na Mabango kuonyesha kauli mbinu ya siku ya kupinga ukatili wa kijinsia |
Wanasheria wa shinyanga katika siku ya Uzinduzi wa siku kumi na sita za ukatili wa kijinsia |
Baadhi ya Madiwani wa halmashauri za Mji, Ushetu na Msalala wakiwa katika mandamano ya siku ya kupinga ukatili |
Moja wa wasimamizi wa Dawati na jinsia wa jeshi la polisi NINAELY KiSAGESE akiwa na na baadhi ya madiwani |
Moja ya Bango lenye ujumbe wa siku ya kupinga ukatili wa kijinsia |
Wanafunzi wakiwa katika kusikiliza Hotuba ya mgeni Rasmi ambaye hayupo pichani |
Picha ya pamoja na mgeni Rasmi wakati wa siku ya kupinga ukatili wa kijinsia mwenye koti jeusi Seif Bashemera |
No comments: