|
Mkurungezi wa Halmashauri ya Msalala Simon Berege Akiongea na waandishi wa habari juu ya tuhuma za Daktali wa kituo cha Afya Luguya kwa kosa la kumpiga Mtumishi mwenzake makofi na Muunguzi kupiga mgonjwa makofi |
|
Hiki ndiyo kituo cha Afya cha Buluma Ambacho muunguzi alifanya kosa hilo muunguzi Joyce makewa alipiga mgonjwa |
|
Kituo cha Afya Buluma Ambapo Muunguzi Joyce makewa alipokuwa akifanya kazi |
|
Hii Ndoyo Nyumba Ambayo Muunguzi Joyce makew Alikuwa anaishi kama Muunguzi Daraja la pili |
|
Mganga Mfawidhi wa zahati ya Buluma Joseph Masaka Akiongea na waandishi wa habari juu ya tuhuma ya Muunguzi kupiga mgonjwa ambaye alikwenda kutibiwa katika kituo hicho |
|
Muunguzi wa kituo cha Afya Bulima akitoa huduma kwa moja ya wazee walifika kituoni hapo |
|
Moja ya Mgonjwa alifika kituo hapo kwa ajili ya kujifungua na ameweza kujifungua akiwa salama mtoto wa kike katika kituo cha Afya Buluma |
|
Ilikuwa Bahati kwa waandishi wa habari kujionea mtoto mchanga muda Tu baada ya mama yake akiwa amjifungua mtoto wa kike |
KAHAMA
Halmashauri ya msalala wilayani kahama mkoani shinyanga kupitia idara yake ya Afya imewasimamisha kazi watumishi wawili wa idara hiyo ,akiwimo daktari wa kituo cha Afya cha luguya na mwingine wa kituo cha afya Buluma.
Akiongea mbele ya waandishi wa habari mkurungezi wa Halmashauri ya msalala Simon Berege alisema kuwa watumishi hao wawili kuwa tarehe 9 mwezi huu walipata malalamiko toka kikao cha halmashauri ya kijiji kilichokaa kuwa muuguzi msaidizi daraja la pili katika zahati ya Buluma Joyce Godbles Makewa kwa kosa la kumpiga mgonjwa ambaye alikuja kupata matibab,akiwa na mwane mgonjwa.
Aidha Berege alisema kuwa Daktari msaidizi wa kituo cha Afya cha Luguya Dominick Mipawa amebainika kuwa kufanya vitendo ambavyo ni kinyume na maadili ya utumishi wa Umma baada ya kupiga muuguzi wake kichwa mbele ya wagonjwa kinyume na maadili ya udaktali.
No comments: