|
Mkuu wa wilaya ya kahama Fadhiri Nkurlu Wakati wa kikao kazi cha watumishi wa afya katika hospital ya mji wa kahama kwa baadhi ya watumishi wa idara hiyo kukosa maadili ya utumishi |
|
Watumishi wa afya wakisikiliza maelekezo ya kikao kazi toka kwa mkuu wa wilaya ya kahama Fadhiri Nkurlu mjin kahama |
|
tumekuelewa mkuu hayo ni baadhi ya maneno ya watumishi wa afya wa hospital mji wa kahma |
|
tuweke kumbumbkumbu sahihi |
|
baadhi ya watumishi wa afya kama unavyoona maelekezo ya mkuu wa wilaya kama yatafanikiwa kwa hilo jambo |
|
Tuko makini |
|
Baadhi ya madaktali wa hospital ya mji wakahama Dr masasi mwenye shati nyeupe na mwenye shati ya mabaka ni dr magesa |
KAHAMA
SERIKALI wilayani Kahama
mkoani Shinyanga imewatahadharisha wauguzi wenye lugha chafu wakati wanapotoa
hutuma za matibabu kwa wagonjwa wanaokwenda kutibiwa katika hospitali ya mji wa
Kahama mkoani Shinyanga.
Tahadhal hiyo imetolewa
leo na mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhil Nkurlu wakati akizungumza katika kikao
baina yake na watumishi wa hospitali ya mji wa Kahama kilichofanyika katika
ukumbi wa wauguzi.
Mkuu huyo wa wilaya
amesema kuwa amekuwa akipokea malalamiko ya mara kwa mara juu ya manyanyaso
wanayoyapata wakina mama wajawazito wanaofika katika wodi ya wazazi kwa lengo
la kujifungua.
Aidha Nkurlu amesema
kutokana na hali hiyo kuna umuhimu way eye kama kiongozi wa wilaya ameona umuhimu wa yeye kujikita katika suala la
afya ili wauguzi wawahudumie kwa nidhamu wagonjwa wanaofika kwa lengo la kujifungua.
No comments: