|
Huu ndiyo ulikuwa msafara wa mkuu wa mkoa wa shinyanga Zainab Tellack kwenye mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu |
|
Mkuu wa mkoa na kamati ya ulinzi ya mkoa na wilaya wakisubiri kufunguliwa kwa chumb cha kuhifadhia dhahabu katika mgodi wa Bulyanhulu |
|
Sitaki mchenzo twendeni mpaka hapo nimesema mimi hayo ni maneno ya mkuu wa mkoa wa shinyanga Zainab Tellack |
|
Nachungulia kuona kama kuna mtu humo ndani nawenza kuhamisha mali nzetu mkuu wa mkoa |
|
Na sema Fungua mlango hapa sina mchenzo kwa hili hayo ni maneno ya mkuu wa mkoa |
|
Hiki ndiyo chumba kikuu cha kuhifadhia dhahabu ambapo kilishindwa kufunguliwa siku ya kwanza na kuwekwa ulinzi mkali na mkuu wa mkoa wa shinyanga |
|
Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa shinyanga na kahama wakiteta jambo nje ya chumba cha kuhifadhia dhahabu na kuwekwa ulinzi mkali |
|
Hali ya sita fahamu ilikuwa hivi katika mgodi wa dhahabu Bulyahnulu |
|
Ulinzi mkali |
|
Askari wa jeshi la polisi wakiwa katika ulinzi mkali wa kuangalia chumba cha kuhifadhia dhahabu kutoloshwa kwa mali yetu |
|
Fungua haraka |
|
Wafanyakazi wa mgodi wa dhahabu wa bulyanhulu wakiwa chini ya askari polisi kufungua chumba kuhifadhia dhahabu |
|
Mama nafungua hakuna shida |
|
Baada ya kufungua chumba cha dhahabu |
|
Weka hapa tuone wote maneno ya mkuu wa mkoa wa shinyanga |
|
Pima tuone kilo gapi hapa |
|
Mwaandishi wa star tv shabani alley akiwa amebeba kitofari cha dhahabu kwenye mgodi wa bulyanhulu |
|
Tumeona na kujirizisha sasa fungeni huu mlango wenu |
|
Afisa utumishi wa Halmashari ya msalala Mary Nziku wakibadilishana mawanzo |
|
Chenzea serikali ya magufuli weeeee acha tu |
|
Tunalinda mali |
|
Funga twende wacha mchenzo hapa ni maneno ya askari alipewa jukumu la ulinzi eneo hilo |
|
Tupo vizuri kwenye kulinda mali Songea mbali hapa |
Serikali
mkoani Shinyanga imezuia usafirishaji na
uyeyushaji wa Dhahabu katika migodi ya
ACACIA Buzwagi na Bulyanhulu
mpaka maelekezo yauatakapotolewa na serikali.
Akizungumuza
na uongozi wa migodi hiyo katika ziara ya kushtukiza mkuu wa mkoa wa shinyanga ZAINAB TELLACK
amesema kuwa licha ya kusimamisha
usafirishaji na wa madini kwenda nje na uyeyushaji wa Dhahabu bado watatakiwa kuendelea kufanya uzalishaji
kama kamawaida.
Alisema kuwa
serikali kwa sasa hawaamini kile ambacho kinazalishwa na ndicho kinachotolewa
taarifa kwani udanganyifu umeonekana tangu mwanzo ambapo mchanga wa madini
uliokuwa ukisafirishwa kwenda nje ulikuwa na mkanganyiko wa vipimo kwani uzito
ulionekana kuwa mkubwa tofauti na kile kilichpo kwenye makaratasi.
Aidha pamoja
na kuzuia usafirishaji na
uyeyushaji bado amekuwa na wasiwasi na
minzani inayotumika katika kupima uzito wa dhahabu ambapo ameagiza wakara wa vipimo kupima upya
dhahabu iliyopo ili kuona ukweli kuhusu kama inawiana na uzito uliotolewa
taarifa.
Aidha
katika hatua nyingine TELLACK amesema kuwa hakuna kuanza uyeyushaji, upakiaji
wa dhahabu katika maboksi ya kusafirishia au kupandisha kwenye Ndege bila
kuwepo kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ili kuona kile kinachokwenda nje
nisahihi
No comments: