By: Mohab Dominic
on 02:31
/
|
MKUU WA MKOA WA SHINYANGA ZAINAB TELLACK MWENYE KILEMBA KICHWANI AKIPOKELEWA NA MENEJA JASILIMALI WATU GEORGER MKAZA KWENYE MGODI WA DHAHABU BUZWAGI MJI KAHAMA MWENYE SHATI NYEUPE NI MKURUNGEZI WA HALMASHAURI YA MJI ANDERSON MSUMBA |
|
MENEJA JASILIAWATU MGODI WA BUZWAGI GEORGER MKAZA AKITOA MAELEKEZO KWA MKUU WA MKOA ZAINAB TELLACK WAKATI WA ZIARA YA KUSHITUKIZA KATIKA MGODI HUO |
|
TWENDE UKAONE |
|
HAPA NI KWENYE GETI KUU LA KUHIFADHI DHAHABU KABLA YA MKUU WA MKOA KUINGIA NDANI YA CHUMBA CHA KUIHIFADHI DHAHABU MGODI WA BUZWAGI |
|
MENEJA JASLIWATU WA MGODI WA BUZWAGI AKIMPA MKUU WA MKOA MAELENZO JUU YA UZALISHAJI WA DHAHABU HUKU MKU WA WILAYA FADHILI NKURLU MWENYE SUTI NYEUSI AKISIKILIZA KWA MAKINI |
|
MOJA WA WAFANYAKAZI WA CHUMBA CHA KUHIFADHIA DHAHABU ANNA KAHICHE MWENYE KOFIA AKIINGIA NDANI YA CHUMBA CHA DHAHABU |
|
MKUU WA MKOA WA SHINYANGA ZAINABU TELLACK AKIWA AMESHIKA KIPANDE CHA TOFARI CHA DHAHABU CHENYE KILO 15 KWENYE CHUMBA CHA KUHIFADHIA DHAHABU WAKATI WA ZIARA YAKE YA KUSHUTUKIZA KATIKA MGODI HUO |
|
HIVI NDIYO VIPANDE VYA DHAHABU ILIYOKUWA HIMEIFADHIWA KATIKA MGODI WA DHAHABU BUZWAGI
KUKIWA NA VITOFARI KUMI NA TATI (13)
Serikali Mkoani shinyanga imezuia kufanyika kwa shughuli za uchomaji na
usafirishaji wa dhahabu katika mgodi wa Buzwagi uliopo wilayani Kahama hadi pale serikali kuu itakapotoa maelekezo
yatakapotolewa ya kufanya hivyo
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Telack akiwa na na kamati ya ulunzi na usalama ya mkoa na
wilaya viongozi mbalimbali amefanya ziara ya kushitukiza katika mgodi huo
na kueleza kuwa serikali imeagiza kusitishwa kwa shughuli hizo hadi hapo
maelekezo yatakapotolewa.
Aidha mkuu wa mkoa wa shinyanga
akiwa ndani chumba cha uzalishaji wa dhahabu amejiridhisha na dhahabu zilizokuwa
zimezalishwa kwa kupima upya uzito wa kila tofali la dhahabu na kueleza kuwa
hakutakiwi kufanyika uchomaji wa dhahabu wala usafirishaji hadi maagizo kutoka
serikali kuu yatakapotolewa.
Mkuu wa mkoa aliutaka
uongozi wa mgodi kupima dhahabu ili kuona uzito wa kila tofari moja la dhahabu
ambapo kila moja ilikuwa na uzito tofauti katika kila tofari moja kati ya
matofari yalikuwepo kwenye chumba hicho ni matofari kumi na tatu (13) ambapo
zilipatikana kilo 157.487.7 kwa wiki mbili
ambapo uzalishaji huo ulifanyika toka tarehe 1.5.2017 mpaka tarehe 15.5.2017 ambapo sawa na wakia 555.48.
Aidha kwa upande wake meneja rasilimali watu alisema kuwa wao
kama mgodi wamepokea maelekezo hayo na kunyafanyia kazi kwa wakati na kutofanyika kwa shughuli zozote hadi hapo maelekezo
yatakapotolewa na serikali . |
Tag:
habari
matukio
MOHABMATUKIO.BLOGSPOT.COM's Admin
We are.., This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Aisee tutaendelea kudanganywa, bora nigeria ihamie bongo, waulize shell wamefanyweje huko.
ReplyDeletewabongo colgate sana mtakuwa zaidi ya kondoo.