Mmoja wa Watumishi wa Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Injinia Renalda Mukandara akichangia maoni yake wakati wa kikao hiko.
Sehemu ya Watumishi wa Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Profesa Faustin Kamuzora (hayupo pichani) alipokua akiongea nao alipokutana nao katika Ofisi za Baraza hilo.
No comments: