MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI MSALALA

Mkuu wa wilaya ya shinyanga josephine matilo akikabidhi mwenge wa uhuru mkuu wa wilaya ya kahama Fadhili Nkurlu 


 Mkuu wa wilaya ya kahama Fadhili Nkurlu akikabidhiwa mwenge wa uhuru .

Watanzania wametakiwa kushiriki katika kusimamia maliasili zilizopo katika maeneo yao na kupambana na wezi hasa wa Madini kama rais  Dk
t. JOHN POMBE MAGUFULI alivyoanzisha mapambano hayo.

Wito huo umetolewa katika kata ya CHELA Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama na Kiongozi wa Mbio za mwenge wa uhuru kitaifa, AMOUR HAMAD AMOUR wakati akitoa  ujumbe wa Mwenge wa Uhuru, baada ya Mwenge huo kuwasili katika Halmashauri hiyo

MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI MSALALA MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI MSALALA Reviewed by Mohab Dominic on 02:55 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.