Wataalam wa Madini ya Dhahabu
kutoka Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu ICGLR wamekutana Jijini Arusha ili
kujadili masuala mbalimbali yanayohusu madini ...
haya ni moja ya mashamba yalivamiwa na wachimbaji wandogo katika kata ya zongomera mtaa wa mwime wilayani kahama
Mwenyekiti wa wachimbaji mkoa wa shinyanga Nicodemasi majambi akiongea na wachimbaji wandogo baada ya kuvamia mashamba pamoja na muwekezaji ambaye ana hati ya kumiliki eneo hilo la ilindi
Mama huyo akiwa anaosha mchanga unaosadikiwa kuwa na dhahabu katika machimbo mapya ya mwime ilindi wilayani kahama hivi karibuni
Huu ndiyo umati wa wachimbaji wandogo walivamia mashamba na ukosefu wa vyoo ni hatari sana kwa afya zao
Wachimbaji wandogo na afisa madini sudi jemes mwenye shati la mikono mifupi na kofia akiangalia uvamizi huo ambao siyo halali
Eneo la machimboni wachimbaji wakiwa wameweka uzuio kwa ajili ya usama wa mawe yao hapo machimboni
Ukataji wa magongo ni chanzo cha huaribifu wa mazingira kama jinsi magongo yalivyovuwa
Haya ndiyo mashamba yalivamiwa katika mtaa wa mwime mji wa kahama
uahalibifu wa mazao
Shunghuli za uchimbaji zikiwa zikiendelea ilindi mwime
Afisa usalama wa madini kahama Sudi jemes akiongea na wachimbaji eneo hilo la ilindi
Mazao yaliaharibiwa
Mifuko ya mawe yanasadikiwa kuwa na dhahabu kati machimbo mwime ilindi
Baadhi ya machine ya kuchoronga mawe chini ya mashimo katika machimbo ya mwime ilindi
Baadhi ya Mahema ya wachimbaji na mashimo yao wakiwa wanafanya kazi huku mifuko ikiwa na mawe yanasadikiwa kuwa na dhahabu
KAHAMA
Hivi karibu wilayani kahama mkoani shinyanga
kumeimbuka machimbo ya dhahabu katika kata ya zongomera mtaa wa ilindi mwime na
kusababisha malumbano makubwa kati ya wenye mashamba na muwekezaji
jambo ambalo limelita msunguano.
Aidha akiongea na Mohabtv online mwenyekiti wa
mtaa wa ILINDI MWIME Anderia josepha alisema kuwa machimbo haya ni kikundi cha
mwime ambapo kimesajiliwa na huyu muwekezaji amevamia eneo hili.
Jesepha alisema suala muwekezaji huyo ni mtapeli
kwa kuwa sisi tumelifikisha kwa mkuu wa wilaya hata hivyo mkuu wa wilaya
alikuwa akiwatete hao wawekezaji jambo ambalo siyo sahihi kuwa eneo hilo lao TAZAMA VIDEO HAPO CHINI
We are.., This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
No comments: