sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » BREAKING NEWS: VIONGOZI WANNE WA CUF WAMEFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GALI



Habari tulizozipata  asubuhi hii ya Jumatano September 6, 2017 ni kwambaViongozi wanne wa Chama cha Wananchi CUF wanaomuunga mkono ProfesaIbrahim Lipumba wamefariki dunia baada ya msafara wao kupata ajali maeneo yaUbenazomozi Mkoa wa Pwani.
Ajali hiyo imetokea jana usiku wakati Viongozi hao wakitokea Dodoma kwenyesherehe za kuapishwa kwa Wabunge wapya wa Chama hicho baada ya gari laokugongana na Lori.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Habari wa CUF Abdallah Kambaya Viongoziwaliofariki ni kutoka Wilaya ya Muheza, Tanga ambapo miongoni mwao ni Mgombea Udiwani wa Muheza Mjini, aliyefahmika kwa jina moja Uredi.
Aidha, idadi ya majeruhi haijajulikana ila ni hawazidi 10 na baadhi yao wapo Hospital ya Tumbi huku akisema chanzo cha ajali hiyo ni gari la wafuasi hao kugongana na lori.

TAZAMA AJALI YA GALI KUBWA LA MAFUTA HAPO CHINI

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply