sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» »Unlabelled » HII NDIYO GHARAMA ZA SHULE ZA MSINGI ZA KITANZANIA AMBAPO WANAONA ADHA YA USAFIRI

 Hii NDIYO ADHA YA WANAFUNZI WA KITANZANIA WAKIWA KATIKA WAKATI MGUMU WA USAFIRI WA KWENDA SHULE WAKIWA WAPANDA ROLI LA MCHANGA HUKU LIKIWA KATIKA MWENDO NI HATARI KWA WATOTO WETU WA SHULE MKOANI PWANI mohab Dominick 

 

Ule usemi kwamba ukitaka elimu huna budi kuitafuta "popote na kwa gharama yoyote" umewaingia wanafunzi wa shule ya Msingi Mwampunga Bule iliyopo kata ya Mishepo wilaya ya Shinyanga vijijini waliolazimika kubadilishana vyuma chakavu na wafanyabiashara wa bidhaa hizo ili kupata mahitaji yao ya shule.

Hatua hiyo imekuja baada ya baadhi ya wazazi kukosa mwamko wa elimu hivyo kuacha kuwahudumia watoto wao mahitaji yao ya shule ambapo biashara hiyo inawasaidia wanafunzi hao kupata mahitaji muhimu kama vile madaftari, kalamu pamoja na mabegi ya kubebea madaftari.

Njia hii imebuniwa na baadhi ya wanafunzi wanaopenda elimu, jambo ambalo pia limeungwa mkono na walimu wa shule hiyo baada ya kuona ni mkombozi kwa wanafunzi hao
.

 Hii ni shule ya Msingi Majahida iliyopo nje kidogo ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu ambapo nusu ya wanafunzi wake hukalia mawe madarasani kutokana na uhaba mkubwa wa madawati shuleni hapo.

Wilaya ya Bariadi inaongoza nchini kwa kuzalisha pamba asilimia 60, pia ina rasilimali ya madini pamoja na mifugo ya aina mbalimbali
. mohab Dominick

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply