PAMOJA NA KUWA NA ZIWA WANANCHI WA WILAYA YA CHATO BADO WANASHINDA KUBWA YA MAJI

 HII NDIYO ADHA YA MAJI KATIKA MKOA WA GEITA WILAYANI CHATO WAKINAMAMA WAKISUKUMA MKOKOTENI WA MAJI TOKA ZIWA VICTORIA AMBAPO MAJI YAPO MENGI LAKINI HAKUNA MIUNDO MBINU YA MAJI KATIKA WILAYA HIYO mohab Dominick
HIVI NDIYO WAKAZI WA WILAYA YA CHATO MKOANI GEITA WAKICHOTA MAJI ZIWA KUTOKANA NA KUKOSA MIUNDO MBINU YA MAJI HUKU MAJI HAYO YAKIWA HAPA MJINI mohab Dominick
PAMOJA NA KUWA NA ZIWA WANANCHI WA WILAYA YA CHATO BADO WANASHINDA KUBWA YA MAJI PAMOJA NA KUWA NA ZIWA WANANCHI WA WILAYA YA CHATO BADO WANASHINDA KUBWA YA MAJI Reviewed by Mohab Dominic on 20:58 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.