sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » BAADHI VIONGOZI WA KATA NA VIJIJI CHANZO KUWEPO KWA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI

 Baadhi ya waandisha wa habari wa vyomba mbalimbali wakati gari lao lipopata hitilifu kidogo za umeme .
 Hii ndiyo ofisi ya mtendaji wa kijiji cha igwamanoni kata ya bugara hawa ni baadhi ya wana habari wakiingia ndani ya ofisi hiyo ya

 
 
Baadhi ya viongozi wa vijiji ,vitongoji na kata ni chanzo cha kuwepo kwa mimba na ndoa za utotoni kwa madai ya kuwalinda watuhimiwa.

Hayo yalisemwa na Mwenyekiti wa kitongoji cha miembeni kata ya Bulyhanulu Yohana kalamela,  wilayani kahama mkoani shinyanga.

Hayo hayalisema wakati akiongea na wandishi wa habari waliotembelea kata hiyo kujionetatizo la mimba na ndoa za utotoni .kwa kupitia mradi wa wanaume na wavulana (Men Engage) toka shirika la care Intenational.

Mwenyekiti Yohana alisema tatizo la mimba katika umri mdogo limekuwa likisababishwa na baadhi ya viongozi wa serikali walipewa dhamana na wanachini katika ,ngazi za vijiji vitongoji katika kata ya bulyahnulu ambao huwakingia kifua na kuwatorosha .

Aidha kwa upande wake muamashiji wa kupinga ndoa za utotoni na mimba kata ya bulyahnulu na pia ni kamanda wa sungusungu  shabri   alisema kuwa watuhumiwa wakikamatwa baadhi ya viongozi wakiwalinda watuhumiwa na kuwatorosha.
 


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply