sponsor

sponsor

Slider

  1. 1
  2. 2
  3. 3
  4. 4
Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » JESHI LA POLISI DODOMA WALIVYOIMARISHA ULINZI KUZUI MAANDAMANO YA CHADEMA
 Mohab Dominic

 Jeshi la polisi limeimalisha ulinzi katika maeneo yote ambayo yalitajwa na chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa ndiyo watapitia wakiandamana kwenda kwenda Bungeni kuanzia saa 4 asubuhi ya leo

 Polisi wakiwa wamefunga kamba kati barabara ya mzunguko ya stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani na chuo cha biashara CBE  kwaajili ya kuwazuia waandamanaji hao waliopanga kwenda Bungeni
  Polisi wapanda farasi wakiimalisha ulinzi katika viwanja vya nyerere Squere ambapo Chadema wamepanga kuanzia maandamano kuelekea bungeni.
  Askali polisi wakiwafanya mawasiliano kwenye gari lao ambalo lilikuwa limepakia mbwa kwa ajili ya kuimalisha ulinzi katika viwanja vya Nyerere Dodoma kwa ajili ya kuwazuia waandamanaji wa Chadema walipanga kuandamana kwenda Bungeni.

Hivi ndivyo hali ilivyokuwa Dodoma kila kona ulinzi

«
Next
BAADHI VIONGOZI WA KATA NA VIJIJI CHANZO KUWEPO KWA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI
»
Previous
MBOWE HALETA KIZANZA DAR
Pages 22123456 »

No comments:

Leave a Reply