sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » CCM SASA KUMEKUCHA KUCHUKUA FOMU YA SERIKALI ZA MITAA

 Mwenyekiti wa ccm kata ya malunga mwenye tisheti ya ccm Donald igulu akibidhi barua  Ramadhani moris  ya kukubaliwa kungombea nafasi ya serikali ya mitaa   mtaa wa igomelo.
 Mwenyekiti wa  ccm kata ya malunga Donald igulu akimpongeza Ramadhani moris kwa kuteuliwa na halmashauri kuu ya kata kwa mchangua ramadhani moris kungombea nafasi ya mwenyekiti wa serikali za mtaa wa igomelo .
 Hogera kaka kukubaliwa na halmashauri kuu ya kata Ramadhani moris wa kati alishika karatasi nyeupe .
 Hivi ndivyo Ramadhani moris wakati kuweka sahihi kwenye kitabu cha kuchua barua .
 Mmoja wa wagombea nafasi za serikali za mtaa kata ya malunga Betha nchimba akikabidhiwa barua na mwenyekiti wa ccm kata ya malunga.Donald igulu katika mtaa wa mohogolo kwa tiketi ya ccm.
 Pokea mama barua ya kukubaliwa na chama kuwa mgombe wa ccm wa serikali za mtaa mtaa wa mohogolo .
 Hogera  sana
 katibu muenezi wa kata ya malunga mwenye tisheti ya misitali akimkabidhi barua betha nchinba barua ya kukumbaliwa kungombea nafasi ya mwenyekiti wa serikali za mitaa
 mama saini barua yako ndiyo hii hogera
 Hata hivyo uchanguzi huu hulitafarani baada ya mtendaji wa kata ya malunga cosmas  Bukango wazui ufunguo wa ukumbi wa kata hiyo na baada ya baadhi ya wagombea kushindwa na kufanya fujo hizo toka asubuhi mpaka mchana baada ya jumbe moja alishindwa kutoa ufunguo huo

Aidha katika kinyanganyilo hicho wagombea walikuwa watatu
1. Ramadhani moris alipata kura... 6
2.Limbeli mhoza  alipata kura....... 2
3.mama magesa alipata kura ......19
Hata hivyo katika uchanguzi huo hulingia dosari baada ya mgombea moja kutumia Rushwa katika uchanguzi na kufanya ubadilifu mkubwa katika kura hizi baada ya uchunguzi huo Ramadhani morisi alipewa ushindi huu na halmashauri kuu ya kata .

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply