sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » MAUJI YA WAFUNGAJI NA WAKULIMA YAZINDI KUENDELEA WILAYANI KITETO MKOANI MANYARA

hivi ndiyo mapingano ya wazee wa matui wanavyouwawa kwa kungombea mashamba na ufungaji wa maeneo .


Mapigano bado yanaendelea kati ya wafugaji wakimasai na wakulima eneo la Matui, chanzo kugombea maeneo ya kilimo na ufugaji, naomba serikali ichukue hatua maana hali ni mbaya sana, hamna hata polisi mmoja aliyeenda kutuliza gasia hizo, watu wengi wameshaanza kuyahama makazi yao kunusuru maisha yao, na inasemekana kuna kundi kubwa la wamasai kutoka Mererani na Simanjiro wamejipanga kwenda kuwasaidia wenzao.

Raia wamfunga majumba yao na wamekusanyika katika kituo kidogo cha polisi Matui kwajili ya usalama wao.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply