sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » POLISI KAHAMA WAZIBITHI TAX BUBU ILI KUONDOA UHARIFU

 hivi ndivyo tax za mji wa kahama kama inavyoneka kuwa kweupe
 Eneo la tax mji kahama baadha ya kudhibitiwa na jeshi la polisi kahama kupakia eneo hili
 Hii ndiyo tax inavyokumbaliwa na kupakia abiria katika kituo cha mabasi kahama .
 Hii ndiyo stadi mkuu ya mji wa kahama iliyokuwa kwa siku ya leo
 Baadhi ya wandesha tax wilayani kahama wakiwa katika vuwanja vya magereza kwa ajili ya kujadilia juu ya suala lao la mgongoro wa kulipa kodi.
 Majadiliano ya madereva tax kahama yakiendelea kwenye viwanja vya magereza wakiwa na tax zao .

 Mmoja wa fanyabiashara wa nyama za kuchoma akiwa ana sale akifanya biashara huku akiwa hatari kwa wasafiri wanao kwenda mikoani ni hatari kwa afya za abiria .

Mwenye kazu nyekundu ni kiongozi wa madereva wa tax kahama Abdul Amid akiongea na madereva wenzake juu ya mgongoro huu .


 Kahama            
Jeshi la polisi wilayani kahama ilimefanya msako maeneo ya standi kuu na vituo vya tax na kubaini kuwepo na tax bubu katika stadi kuu ya mabasi yaendayo mikoani .

Alihiyo ilijitokeza jana baada ya madereva tax kukamatwa kwa moja wao kwa kosa la kubakia abiria je ya kituo bila ya kuwa na leseni ya kumbeba abiria kinyume na utaratibu huliopo ambao hunasababisha serikali kulipa kodi.

Aidha nipashe ilifika eneo hilo la stadi  kuu kujionea hali halisi ya huo mgomo wa madereva tax na kukuta tax hizo zipo nje ya kupakia mabasi jambalo limeleta husubufu mkubwa kwa wateja.

Kwa upande wake kamanda wa polisi barabara  Robert sewando alipotakiwa kujibu hoja hiyo alisema kuwa mimi sio msemaji wa jeshi la polisi yupo ocd ndiyo mwenye mamlaka ya jambo hili kwa sababu lipo kisheria na mwenye tax wafute tu sheria alisema.

Aidha kwa upande wake mkuu wa polisi wa wilaya ya kahama Leornad Nyandahu (O C D )Kujibu malamiko hayo alisema kuwa ili siyo tatizo ni kufuta utaratibu wa sheria sisi kama jeshi la polisi wilaya tuna mpango wetu wa kazi hatuwezi kuona kila tax inakuja hapa kupakia abiria ikiwa aina kibao cha maandishi meupe kuwa ni tax inayotambulika kisheria.

“Kisheria kuna uharifu mkubwa hunafanya na hawa mwenye tax ambazo hazitabuliki kisheria na kuna baadhi wao wanalipata mapato TRA Jambo ambalo wengine wanata hasara kwa wengine kutolipa kodi’
Na kufanyakazi wao bila kulipa kodi hiyo.

Akifafanua zaidi alisema wimbi la ujambazi mwingi linafanya na hizi tax ambazo azijasajiliwa kihalali na mwisho wa siku ni lawama kwa jeshi la polisi hapa kahama huone tu hizi tax mjini hazizidi kumi zenye leseni za tax sisi kama jeshi la polisi utaratibu wetu kazi hatupangiwi alisema .

Aidha kwa upande wao hao waendesha tax ambaye alisema kuwa ni kiongozi wao Abdul Amid alisema kuwa chonzo cha huu mgongoro ni moja wa dereva tax alipakia abiria moja toka kwa Anget wa basi na kumpeleka nje ya kituo cha basi jambo ambalo likuwa siyo kosa lake ni kosa la huyo Anget wa mabasi kufanya hiyo.

Akifafanua zaidi Amid alisema kuwa  tuliona mwezetu amekamatwa na askari na kupelekwa kituoni na mahojiano zaidi kwanini alichukua abiria hapo stadi huku hakifahamu kuwa nyenye haki leseni ya kupakia abiria .
Naye dereva tax jumanne majid alisema kwakuwa jeshi la polisi ndiyo lilopanga mpango huo tuanaomba basi watu hata miezi 6 ili tuwenze kujipanga kwa hilo na sio kutuone ,sasa hatuna kazi leo ni siku ya tano hebu fikiri muandishi.

Kwa upande wake mkurungezi wa mji wa kahama felix kimario alisema kuwa lazima hawa lipe kodi kwani ni sheri ya kuweka kibao chenye kuonyesha ulipwaji wa kodi na si vinginevyo nikwa mjibu wa sheria za kodi .
“Halmashauri zetu zinaendeshwa kwa kodi hizo tax zinafanya kazi hizo kimakosa kupakia hapo stadi ilikuwa wajui hawalipi kodi nao polisi ni kazi yao kuangali suala la usalama wa abiria wao wanakokwenda wapi ili kuondoa maska kwa abiria’’

Naye kamada wa polisi wa mkoa wa shinyanga  Justus kamugisha alipoulizwa juu ya sakata la tax kufanya huo mgomo baridi alisema wao hawana haki ya kupakia hapo kinyume na utaratibu huliowekwa na jeshi la polisi ni wajibu wake kuangali usalama wa abiria kuondoa tax bubu mjini ili kuondoa hualifu hunatumiwa na tax hizi alisema . 

Mwisho


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply