sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » JAMBAZI LAKAMATWA KAHAMA NA RISASI 166 NA BUNDUKI AINA G 3 /LMG ,LIKIWA LINAKWENDA MKOANI SINGIDA

 Hizi ni baadhi ya Risasi ambazo zimekamatwa katika mkoa wa shinyanga jeshi la polisi likishirikiana na wananchi kwa pamoja .


 kamanda wa polisi mkoa wa shinyanga justus kamugisha akionyesha baadhi ya siraha zilikamatwa mkoa wa shinyanga picha hizi na makitaba yetu .

KAHAMA .
Mkazi wa mulubona wilaya ya kasulu Saidi maulidi miaka 35 mkulima na mkazi wa kijiji cha mulubona Akamatwa na risasi 166akiwa na risasi hizo na bunduki aina G3LMG pamoja na makoti mawili .

Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Busoka  wilayani kahama mkoani shinyanga jana majira ya jioni,akiwa anatokea mkoa wa kigoma kuelekea mkoa wa singida.

Kwa mujibu wa  mashuhunda wa tukio hilo walisema kuwa jambazi hilo likuwa kwenye basi la abiri lilokuwa na jina la bariadi Express ambapo basi ilikuwa likitokea mkoani kigoma na askari wa doria wa task force ndiyo walipewa taarifa hiyo na kulisimamisha basi hilo.

Aidha kwa mujibu wa shuhunda huyo john Charles alisema kuwa hivi karibuni kumekuwa na mwinbi kubwa la majambazi kupita jioni na mabasi yanayotoka mkoa wa kigoma na Geita na wilaya zake kumekuwa na matukio yaaaina hiyo ya kila mara alisema john.

Aidha kwa upande wake kamanda wa polisi wa mkoa wa shinyanga Justus Kamingisha alipoongea na gazeti la nipashe alisema kuwa jambazi hilo likuwa kwenya Basi la Bariadi Express aina ya scania lenye namba T186 BFY.Ambalo jambazi hilo likuwe limepanda.

Kamanda wa polisi mkoani alizidi kusema kuwa jambazi hilo likuwa vitu vingine kama vile ,makoti mawili ambayo yanafanana makoti ya kipolisi jambo ambalo polisi waliokuwa doria na task force waliweza kumdhibiti jambazi hilo na kulikamata .

Kamungisha alizidi kusema kuwa naomba abiria na raia wema kuwa na hushirikiano na jeshi la polisi kwa kutoa tarifa kwani kujiokoa wote watanzani ana siyo kwa mtu moja ni kwa taifa na wanachi na mali zao pia ni wajibu wa kila mwanachi kutumia nafasi ya kutoa tarifa.

Kamanda Justus amesema kuwa jeshi hilo la polisi lina mshikiri mhutumiwa huyo na ikikamilika uchunguzi wa tukio hilo hatafikishwa mahakani kujibu tuhuma hizo za kukutwa na bunduki na Risasi hizo.
Mwisho

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply