sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» »Unlabelled » JIMBO LA MTAMA WAFANYA KUFULU MAPOKEZI MAKUBWA YA MGOMBEA URAIS WA UKAWA EDWARD LOWASSA

 Najua hapa Mtama kunao wanaccm,nawaambieni wafikirieni watoto wenu,wajukuu kuendelea na ccm nikuwatesa watoto -  
 Ummati wa wakazi wa jimbo la Mtama wakiwa na Furaha kubwa wakisikiliza sera za chadema
 Baadhi ya wangombea ubunge jimbo la mtama selemain mathew wa Chadema  na isaka  Rashid wa CUF wakiwa na mgombea urais kupitia ukawa Edward Lowassa katika viwanja vya majengo soko la zamani 
 Mgombea wa cuf isihaka Rashid akiwa na mgombea urais  kusema kero za wana Mtama
Mgombea ubunge kupitia chadema  Selemaimani Mathew akihubia wakazi wa jimbo la Mtama kabla ya mgombea Urais Edward lowassa kuwasili eneoo la mkutano .
 Mtama wamechagua Mabadiliko na kurudisha kadi hizi zilichokwa za makijani 
 
 Vijana wakiwa juu ya mti kukuakikisha mgombea urais wa umoja wa katiba ya wananchi ukawa Edward lowassa wanamuona kwa Njia yoyote hile
 Maelfu ya wanachama wa Ccm Jimbo la Mtama wameamua kurudisha kadi zao na kuunga Mkono
 Khamis mgeja akitoa sababu za kuhama ccm katika uwanja wa majengo soko la zamani

 Baadhi ya mabango yaliondikwa na wakazi jimbo la mtama

 Tunafanya Tambiko  kwa wakazi wa jimbo la mtama kumpingia kura mgombea wa ukawa Edward lowassa katika viwanja vya majengo Mtama soko la zamani .
 Tambiko

 Salumu Nmtitili wakifanya Tambiko katika uwanja wa majengo soko la zamani na kikundi cha ngoma Amani Dance Group.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply