sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA EDWARD LOWASSA APATA MAPOKEZI MAKBWA MASASI HUKO BAADHI YA MADUKA KUFUNGWA

 Masasi ipo tayari kwa mabadiliko, muda huu katika viwanja vya Boma Masasi Lindi,
 ASANTENI SANA WATU WA MASASI,


Katibu mwenza wa ukawa ,na pia ni katibu mkuu wa NLD Tozzy matwanga akitoa salamu za umoja wao na kuomba kura zote kupingia Edward Lowassa mwezi wa kumi tarehe 25.

 Khamis Mgeja akizungumza na wananchi wa Masasi katika viwanja vya Boma Masasi  
 Umati wote huu Twaweza wamefikia watu 2 tu,hao 2 walichagua Lowassa,utafiti wa uongo, Sumaye -Masasi  
 Uchaguzi huu ni wako mwananchi, ni wako mpiga kura. Mimi na nyie tujiandae kwa mabadiliko baada ya kupiga kura Oct 25
 Mgombea ubunge jimbo la masasi undamba makombe akitoa maelezo kwa ngombea urais,Edward lowassa katika viwanja vya Boman  kero za wananchi wa jimbo la masasi

Uamue watoto umri 0-5 pamoja na wazee watibiwe bure, na wazee wapewe pensheni zao"
Baadhi ya kinamama wa jimbo la masasi walishindwa kujizui na kuanza kucheza katika viwanja vya Bomani

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply