sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » KILIMANJARO WAFANYA MAPOKEZI MAKUBWA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHADEMA EDWARD LOWASSA

 Ummati   mkubwa wa wakazi wa jimbo la Hai katika viwanja vya michezo machame

                           
Mke wa mgombea urais kupitia chadema Regina Lowassa Asante  ndugu zangu wa Hai  " wakati ni sasa kuwa tayari kuanza maisha mapya" Tuchague kaka mbowe
"Askari wote tunajua pia nyie mnayo matatizo,tunaomba mtende haki msipendelee chama utawala" - Mbatia - Boma Hai

Ulinzi safi  ukawa
 Mkazi wa  machame akiwa na familia yake wakati mgombea urais chadema Edward Lowassa wakati wa kuelekea kwenye mkutano wa kampeni



 Ujumbe wa wakazi wa Hai



Tunaimarisha ulinzi na usalama machame kwenye mkutano wa kampeni jimbo la Hai kupitia mgombea Urais Edward Lowassa ambapo alifanya mikutano katika kiwanja cha michezo machame



                                    



                                            
2010~2015 amefanikisha vijiji 23 Kupata umeme kupitia mamlaka ya usambazaji wa umeme vijijini REA, (Rural Energy Authority).


"Huwezi ukafanya Mabadiliko ndani ya ccm,huwezi kusukuma gari ambalo umelipanda ndani yake"  Mbatia - Hai
"Wananchi wanataka serikali itakayowajibika kwa umma,sio wananchi kuwajibika kwa serikali yao" Sumaye - Boma Ha

Kudhibiti rushwa nitaunda kituo (one stop centre) huduma zote zitaanzia hapo kupunguza urasimu 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply