sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » MAELEFU YA WAKAZI WA MJI WA KITETO WAFANYA MAPOKEZI MAKUBWA KWA MGOMBEA URAIS KUPIA UKAWA

 Sera zinazo tekelezeka za Mgombea Urais wa CHADEMA, Mhe. Edward Lowassa.
 Lowassa Wanawake watapewa fursa na haki sawa katika elimu na uchumi ili waweze bila kuwezeshwa. 
 Ummati tunasikiliza sera
 Kiteto mnayo maji safi na salama, watoto wanapata elimu bora? Kinana anemesema kuna mawaziri mizigo kwa nini anawashtakia wananchi - Sumaye
 Wakazi wa , Jimbo la KitetoMkoani Manyara wakimsikilza Mgombea Urais wa CHADEMA, Mhe. Lowassa
 Tulieni ni maneno ya askari polisi wananchi wakiwa na shauku kubwa la kutaka kumuona mgombea Mgombea urais Edward lowassa
Wafungaji  Wakiwa na furaha kubwa baada ya mgombea urais Edward lowassa kuwasili katika jimbo la kiteto
 Kiteto mnayo maji safi na salama, watoto wanapata elimu bora? Kinana anemesema kuna mawaziri mizigo kwa nini anawashtakia wananchi - Sumaye
 Katibu wa chadema mkoa wa manyara mwenye miwani akiteta jambo na mgombea urais Edward lowassa katika viwanja ya shule ya msingi kibaya kabla ya kuanza kwa mkutano wa kampeni
 Tusubiri uongozi toka juu ni maneno ya mgombea urais wa umoja wakatiba ukawa Edward lowassa akiwambia wangombea ubunge jimbo la kiteto wa Chadema na CUF
 Lowassa Natambua kuwa uongozi ni dhamana. Mkinichagua nitaienzi dhamana hiyo kwa utendaji uliotukuka 
 Kiteto mnayo maji safi na salama, watoto wanapata elimu bora.
 
Lowassa Wanawake watapewa fursa na haki sawa katika elimu na uchumi ili waweze bila kuwezeshwa. 
 Huu ndiyo ujumbe wa wakazi wa jimbo la kiteto
 Mgombea urais Edward lowasasa akiwa na wagombea wawili wa jimbo la kiteto wa CUF na Chadema baada ya kushindwa kuweka makubaliano ya pamoja nani au mgombea moja kati yao
 Omba kura ndiyo maneno ambayo mgombea urais akimwambia mgombea udiwani kata ya kibaya katika viwanja shule ya msingi kibaya ambapo mgombea urais kupia ukawa Edward lowassa alifanya kampeni.

 .Tupo  tayari kwa mabadiliko.
Wakazi wa jimbo la kiteto Mkoani Manyara wapo tayari kwa mabadiliko.kama chupa ya chibuku kwa sasa wamekwisha fanya hayo mabadiliko kwa chibuku

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply